Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

1000116636.png
 
Kwel kabisa mkuu😃😃😃 ukiwa na simu unaweza fumba jicho moja kabisa

Awafim Quality ni nzuri alafu mbs chanche utanipa mrejesho

Mkuu 🙏🙏🙏🙏
Finally narudi enzi za kuangalia movie kwa quality nzuri kama za dramacool

Asante mnooooooooo
 
DOCTOR SLUMP ni melodrama series nzuri, inahusu madaktari wawili waliopenda baada ya kuwa mahasimu wakubwa enzi za shule ya msingi na sekondari.
 
Ila sijui huyu paka ana jiona yeye ni demu au mke wangu, maana Sasa huu ni uonevu ulio pitiliza.

yaani mimi nipike Supu samaki 2, halafu tugawane pasu pasu kisa ana niangalia kwa jicho la wizi ehh!.

ni vile uki mtoa mdogo wangu wa mwisho, yeye ndiye mwana fulani noma kiroho safi 🤣
 
Raisi tunaye🙌😂
 
Back
Top Bottom