Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ngoja niitafute yaani mtu akiniambia na series yenye stori na moto mkali ka.a Six flying dragon au kuzidi basi nichukulia hiyo series ni Kali vibaya maana Six flying dragon ilinifanya kwa mara ya kwanza nilale saa 7 usiku kisa series . Ikiisha Moja unatamani uendelee ni series chache zenye vibe Kali kama Hilo amabalo halipoi mwanzo mwisho bandua bandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…