Kwel kabisa mkuuπππ ukiwa na simu unaweza fumba jicho moja kabisaUkweli quality ya Nkiri inahitaji roho ngumu
π€£π€£π€£π€£ Kilimo kimenibanaaaaWanaisahau katibaπ
makutupora semaji alienda wapi kasahau kazi yake
Kwel kabisa mkuuπππ ukiwa na simu unaweza fumba jicho moja kabisa
Awafim Quality ni nzuri alafu mbs chanche utanipa mrejesho
Karibu sana mkuu tupo pamojaπMkuu ππππ
Finally narudi enzi za kuangalia movie kwa quality nzuri kama za dramacool
Asante mnooooooooo
Ila wamezingua vigongo vya mashuka vya Zamani havipo na Subtitles hakuna za Moja kwa Moja mpk u download.Nkiri tulishakimbia huko mkuuππtupo huku vitu Quality kabisa
Nyau de adriz umbwaaHahahahaha!! Maarasmita
Siku niki nunua bunduki, nita kuja unapo kaa Selikavutupo pamojaπ
Raisi tunayeππIla sijui huyu paka ana jiona yeye ni demu au mke wangu, maana Sasa huu ni uonevu ulio pitiliza.
yaani mimi nipike Supu samaki 2, halafu tugawane pasu pasu kisa ana niangalia kwa jicho la wizi ehh!.
ni vile uki mtoa mdogo wangu wa mwisho, yeye ndiye mwana fulani noma kiroho safi π€£
niki enda jikoni ana nifata, sofa langu pendwa kageuza lake namvumilia tu,Raisi tunayeππ
Mitano tena bila pingamizi πRaisi tunayeππ
Usalama wa taifa huyo πniki enda jikoni ana nifata, sofa langu pendwa kageuza lake namvumilia tu,
Bafu langu kageuza la kwake miksa ana chezamo tu, wakija wageni wa kike ana wakimbiza arrghh π€£π€£
Kuna sehemu nahifadhi mboga mboga, oya aki ona nime enda hata sebuleni ana jua muda wa kula ππUsalama wa taifa huyo π
Chama kinakutegemea, muache apige kazi yake πKuna sehemu nahifadhi mboga mboga, oya aki ona nime enda hata sebuleni ana jua muda wa kula ππ
Mbona hii first night with he duke naona siielewi. Kabisa,au ni mimi tu?I love you π
View attachment 3385605
Mpenzi wa hizo drama ni yule binti j, mi nili angalia kumfurahisha tuMbona hii first night with he duke naona siielewi. Kabisa,au ni mimi tu?