Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Daah mimi huu mtindo siupendi [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa unabaki unaangalia nini wakati mwisho unaujua? Yaani mimi hata ikitokea mtu akaniambia hii movie mwishoni itaisha hivi....baaas keshanivuruga na hamu ya kuangalia yote inanitoka
Aiseee sitakagi pressure [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ulikua unanunua cd au kudownload?

Mie huwa naunga 10gb kwa 1500 usiku pack navuta kama nne hivi kisha nastarehe weekend nzima nainjoy movies
Ki Pc changu hiki hakija wahi ku download movie yyte kina shda hiki.
maana kama MB huwa nnazo za kutosha

moviea nakuwaga nachukua tu kwa wati wenyewe wame zi download
 
Unaidownload kupitia google haipo play store
Download saiv kisha angalia kwa ndan mpaka uizoee ndo utaanza vuta movie vizuri kabisa
inakuwaje hiyo app
heb nijuze
Ina vikorea vyote mb zako na muda wako tu. ila kila episode ina part 3 au nne. Hivyo inahitaji uvumilivu katika kudownload
namba utujuze mkuu
Nzuri kweli haizingui ukishaizoea
 
Umeshaangalia decendant of the sun?

To the beautiful you au hotel king au beautifulGong shim(hii ni nzuri ndo naiangalia kwa sasa)
Descendants of the sun na hotel king tayari. Ngoja nitafute hizo zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…