Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Njoo uchukue kwangu nilishakwambia [emoji12] [emoji12] [emoji12]kwa kweli mie saa ingine huenda tofaut na movies
japo now nimeefulia kshenzi movies za kikorea zime niishia now
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo uchukue kwangu nilishakwambia [emoji12] [emoji12] [emoji12]kwa kweli mie saa ingine huenda tofaut na movies
japo now nimeefulia kshenzi movies za kikorea zime niishia now
Aiseee sitakagi pressure [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daah mimi huu mtindo siupendi [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa unabaki unaangalia nini wakati mwisho unaujua? Yaani mimi hata ikitokea mtu akaniambia hii movie mwishoni itaisha hivi....baaas keshanivuruga na hamu ya kuangalia yote inanitoka
ofkoz ntaluja lakin usnipe zile movie zako za mjini zile [emoji23]Njoo uchukue kwangu nilishakwambia [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ninazo zote za mjini na kijijini [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji12] [emoji12] [emoji12]ofkoz ntaluja lakin usnipe zile movie zako za mjini zile [emoji23]
kwa kweli mie saa ingine huenda tofaut na movies
japo now nimeefulia kshenzi movies za kikorea zime niishia now
Ninazo zote za mjini na kijijini [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ki Pc changu hiki hakija wahi ku download movie yyte kina shda hiki.Ulikua unanunua cd au kudownload?
Mie huwa naunga 10gb kwa 1500 usiku pack navuta kama nne hivi kisha nastarehe weekend nzima nainjoy movies
Ki Pc changu hiki hakija wahi ku download movie yyte kina shda hiki.
maana kama MB huwa nnazo za kutosha
moviea nakuwaga nachukua tu kwa wati wenyewe wame zi download
haaaah sijui anawekaga nn halafu kila saa ana tabasamu na kucheka cheka kuonyesha mimeno yakeYupo na kwenye legend of the blue sea. Kaigiza mjini na kijijini na meno yake kama hajawahi kuswaki [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
inakuwaje hiyo appMie nadownload kwa kutumia simu,hii application ya dramania inanirahisishia kazi
namba utujuze mkuuMie nadownload kwa kutumia simu,hii application ya dramania inanirahisishia kazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo pressure ndo utamu wa movie sasaAiseee sitakagi pressure [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani mimi dramania imenirahisishia sana maisha. Sema huwa nadownload zenye episode mwisho 20 .Mie nadownload kwa kutumia simu,hii application ya dramania inanirahisishia kazi
Ina vikorea vyote mb zako na muda wako tu. ila kila episode ina part 3 au nne. Hivyo inahitaji uvumilivu katika kudownloadinakuwaje hiyo app
heb nijuze
Nzuri kweli haizingui ukishaizoeanamba utujuze mkuu
Yaani mimi dramania imenirahisishia sana maisha. Sema huwa nadownload zenye episode mwisho 20 .
Descendants of the sun na hotel king tayari. Ngoja nitafute hizo zingineUmeshaangalia decendant of the sun?
To the beautiful you au hotel king au beautifulGong shim(hii ni nzuri ndo naiangalia kwa sasa)
Anzia to the beautiful you hutajutia mb zakoDescendants of the sun na hotel king tayari. Ngoja nitafute hizo zingine
Asante ngoja niipakue. Episode 16 tu af cast nimeipenda [emoji23] [emoji23] mwenzenu sijui nna ugonjwa gani nikipewa movie nachungulia cast kwanza[emoji85] [emoji85]Anzia to the beautiful you hutajutia mb zako