Ety jamani π€£Halafu anakwambia amekutroll π
Twende taratibu hapa hapaNakutag uone
Hakuona leastπππ
Nime kosea ni ya 19 ππKomenti namba 4 ni kwako?? Kumbe wewe ni muongo
Eeh utapel tuu adi kwenye kusomaπ€£π€£π€£Ama Least aliisoma kama List π€£π€£π€£π€£
Halafu ulivyosema hivi nimekumbuka kuwa nawe ni verified member.Nataka nilipie Premium membershipπ€£π€£π€£
TUTAKUWEPO π«΅ πTwende taratibu hapa hapa
Umemjibu yule Dr baada au kabla ya mimi kuku'quote?
Vumilia tu ndo umemchagua sasa πEty jamani π€£
Napewa chai yenye pilipili hivi hivi
MImi nili mjibu doctor baada ya kuni mention kwenye list yake,Twende taratibu hapa hapa
Umemjibu yule Dr baada au kabla ya mimi kuku'quote?
π€£π€£π€£Kheeh wap tena na sidhan kama nimewai kukutana nae kwenye anga zake maana Efootball hajagi kule na mimi ndo ninankoshindaπππHalafu ulivyosema hivi nimekumbuka kuwa nawe ni verified member.
Siyo wewe uliyekataliwa na Nusratt kweli? πππ
Mbona madesa mkuu πNime kosea ni ya 19 ππ
Hujajibu swali hapoooMImi nili mjibu doctor baada ya kuni mention kwenye list yake,
View attachment 3423491
Utapel tuuπ€£π€£π€£Ety jamani π€£
Napewa chai yenye pilipili hivi hivi
Jino kwa jino πTUTAKUWEPO π«΅ π
Nitaweza sijui πVumilia tu ndo umemchagua sasa π
Dj weka huyo ni chaguo lako na usifanye kwichikwichi mpaka inaishaπππVumilia tu ndo umemchagua sasa π
wewe si shabiki wa mpira?, maana ya kutroll una jua hujui?Twende taratibu hapa hapa
Umemjibu yule Dr baada au kabla ya mimi kuku'quote?
Hii kwani inahusiana na kumtroll comrade wako ? πMImi nili mjibu doctor baada ya kuni mention kwenye list yake,
View attachment 3423491
wewe si shabiki wa mpira?, maana ya kutroll una jua hujui?
View attachment 3423492