Si mlikuwa mnaambiana hapo nyuma ama sio nyie nimekosea Id zenu😃😃😃Mapenzi ya utapeli yakoje? 🤣
Sisi yetu ni very real sema hatupendi show off
Wee una waza nini kichwani 😂Mimi na Intelligent businessman tunakutumia nauli utake usitake 😂
Tumia kiss kh iko vizuriHuu muda wa uchochezi ungeutumia kunitafutia site nzuri ya kudownload drama kwa HD tungekutumia na wewe nauli uje 🤣
Si mlikuwa mnaambiana hapo nyuma ama sio nyie nimekosea Id zenu😃😃😃
Wajumbe tunaona mkuu🤣🤣
Kaka dunia duara ona sasa🤣🤣🤣Huu muda wa uchochezi ungeutumia kunitafutia site nzuri ya kudownload drama kwa HD tungekutumia na wewe nauli uje 🤣
Kaka pepon Kaka huko🤣🤣Kaa km elfu 10 kushoto
🤣Wee una waza nini kichwani 😂
Nakuomba msijaribu hata kubonyeza nyota 150.......🤣🤣🤣Mimi na Intelligent businessman tunakutumia nauli utake usitake 😂
🙌🙌🙌Napata wasiwasi usalama wangu upo mashakani🤣🤣🤣🤣Wee una waza nini kichwani 😂
Lakin mnaamin mapenzi ni utapeli sio🤣🤣🤣Ni sisi tunaambianaga tunapendana ile kiukweli ukweliiii
Kumbuka vizuri usitugombanishe 😂
Mhh majibu yako yana nipa nguvu ya kujua mapenzi ni utapeli🤣😂🦅
Mapenzi utapeli 😆
Love you sinyorita wangu 😊Mapenzi ya utapeli yakoje? 🤣
Sisi yetu ni very real sema hatupendi show off
Kijana achana na historia mbovu, Joanah ni mamsapu😊Lakin mnaamin mapenzi ni utapeli sio🤣🤣🤣
Nkiri korea drama ubapata unayotaka ikiwemo iljimaeDaaah....Hv iljmae naipataje kaka....maana ililiwa na wadudu kwenye hard disk yangu...
Kwa hiyo hujui mapenzi yakikolea yanazaa na utani wa hapa na pale?? Mapenzi utapeli ni utani huo acha uchochezi 😂Lakin mnaamin mapenzi ni utapeli sio🤣🤣🤣
Ila ukashindwa kumvungia kule kwenye uzi wa kuleast 😂Mapenzi ya utapeli yakoje? 🤣
Sisi yetu ni very real sema hatupendi show off
Naona comrade anakomalia utumiwe nauli hii ishakuwa hatari sasa 😂Kaka nimeukataa
Labda kama atakuja na Shoga ake😃😃😃View attachment 3423457