Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,507
- 34,689
Aah kaka🤣🤣huyo ana kelele nyingi, na the only thing we need is the radio😊🦅
Aah kaka🤣🤣huyo ana kelele nyingi, na the only thing we need is the radio😊🦅
Ndugu Yangu kuna siku nimeingia nakuta notification 100 plus huko nadhan hii tag ilinipita sikuona mapema😀😀😀
Mkuu una hoja sana😃😃Kelele nayo ni kitu ya kumzuia mtu asije kustream?
Sawa ata stream sebuleni, sisi tuta kaa kule mwisho😂🦅
Mwanetu alikuwa anakukataa 😂Ndugu Yangu kuna siku nimeingia nakuta notification 100 plus huko nadhan hii tag ilinipita sikuona mapema😀😀😀
Ila nimefika kaka hakuna kilichoharibika...😃😃😃
SIJI😃😀Enhee hapo sasa atleast aje
Hamna kazi tushampoteza huyo kaka😃😃😃Endelea kuishiwa hizo pawa comrade akuteme, unajisifu unaishiwa pawa mbele yake 😂
Bure kabisa 😂
Tukituma nauli hauji?SIJI😃😀
Kaka peponi mojaSIJI😃😀
Na kutumiwa nauli tena? Oyaa Selikavu mtego huu 😂Tukituma nauli hauji?
Ndugu wananchi
Mwanangu Bill underscore Don amenikataa bhana 🤣🤣🤣Mwanetu alikuwa anakukataa 😂
😂Mwanangu Bill underscore Don amenikataa bhana 🤣🤣🤣
Dah i didn't expect that😃😃😃Tukituma nauli hauji?
Pepon nitakaa nyuma yenu wewe na Comred🤣🤣🤣Kaka peponi moja
Ndugu wananchi View attachment 3423449
Dah i didn't expect that😃😃😃
Eniwei nitatengwa na jamii kama nauli ikitumwa kwangu😃😃
Wa kutumiwa ni wewe mkuu me inabid nipambaneView attachment 3423453
Kaa km elfu 10 kushotoPepon nitakaa nyuma yenu wewe na Comred🤣🤣🤣