Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Uchochezi 🤣
Uchochezi 🤣
huyo ana kelele nyingi, na the only thing we need is the radio😊🦅
Sikiliza hiyo nyimbo, uta elewa vizuri.
Sawa ata stream sebuleni, sisi tuta kaa kule mwisho😂🦅Kelele nayo ni kitu ya kumzuia mtu asije kustream?
Hamna namuonyesha jinsi gani anavyokataliwa 😂Uchochezi 🤣
Sawa ata stream sebuleni, sisi tuta kaa kule mwisho😂🦅
Umesha sikiliza hiyo nyimbo?Enhee hapo sasa atleast aje
Kwani umekosa D2 kabisa za kumuelewa?Kelele nayo ni kitu ya kumzuia mtu asije kustream?
Hamna namuonyesha jinsi gani anavyokataliwa 😂
Mtego huu 😂Sawa ata stream sebuleni, sisi tuta kaa kule mwisho😂🦅
Umesha sikiliza hiyo nyimbo?
Rais wake anamkataa waziwazi.Anakataliwa na nani sasa? Manake mie upepo wa kumkataa comrade sina
Kwani umekosa D2 kabisa za kumuelewa?
Nime piga kelele na kuruka ruka , pawa pawa naishiwa pawa 😊🦅Anakataliwa na nani sasa? Manake mie upepo wa kumkataa comrade sina
Weka flight mode kabisa.Najaribu kujizima data
Mapenzi yetu tuachie wenyewe, hata jf ina weza ikawa Lodge 😂🤣Kwani umekosa D2 kabisa za kumuelewa?
Endelea kuishiwa hizo pawa comrade akuteme, unajisifu unaishiwa pawa mbele yake 😂Nime piga kelele na kuruka ruka , pawa pawa naishiwa pawa 😊🦅
Mhh majibu yako yana nipa nguvu ya kujua mapenzi ni utapeli🤣😂🦅Najaribu kujizima data
😂😂😂Mapenzi yetu tuachie wenyewe, hata jf ina weza ikawa Lodge 😂🤣
Nipe jina la hiki kigongo
Wivu 🤣Endelea kuishiwa hizo pawa comrade akuteme, unajisifu unaishiwa pawa mbele yake 😂
Bure kabisa 😂