Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Maajabu haya kikongwe ana taka aitwe gen z Selikavu, dosho12, Razorblade 🦅😂Mkuu hapendi utani wa hilo jina 😂
Maajabu haya kikongwe ana taka aitwe gen z Selikavu, dosho12, Razorblade 🦅😂Mkuu hapendi utani wa hilo jina 😂
Umeshindikana 😂
basi nasema kikongwe ya mwisho, arrghh we usi nipangie 😂 😂Umeshindikana 😂
😂😂😂basi nasema kikongwe ya mwisho, arrghh we usi nipangie 😂 😂
😅😅 Huo ni ubaguzi kwani wazee hawajui kuigizaNimeingia cha kiume leo 😄
Nimedownload drama inaitwa show window: the queen's house
Nimedownload episodes zote nimekaa hapa naanza kuangalia ety naigoogle drama ni ya 2021 😠halafu walio act ni wazee wenye miaka 40/50 huko
Nimeifuta inabidi niangalie season 2 ya bitch x rich
Ngumu kumeza 😂Nimeingia cha kiume leo 😄
Nimedownload drama inaitwa show window: the queen's house
Nimedownload episodes zote nimekaa hapa naanza kuangalia ety naigoogle drama ni ya 2021 😠halafu walio act ni wazee wenye miaka 40/50 huko
Nimeifuta inabidi niangalie season 2 ya bitch x rich
😅😅 Huo ni ubaguzi kwani wazee hawajui kuigiza
Nikupe website kali kushinda zote?Tulud tu nkiri kwa muda mkuu nitakuletea website nyingine kali nikipata
walaa nili Kumbuka jersey tu😂😂Umekumbuka jersey au umekumbuka kunichokoza? 😱
Oya mnatumia website gani kuzifownloadKuona wazee wanakiss ni kama nawakosea adabu vile 😄
NkiriOya mnatumia website gani kuzifownload
chilling alone, currently watching hii school drama ni 🔥 🔥 🔥.
Ina episode 8, ni ya Mwaka huu, ina mwezi 1 tu.
Numbisa, Nifah, dosho12, Selikavu, Edo kissy, Mac Alpho, Razorblade
View attachment 3412682
🔥✅chilling alone, currently watching hii school drama ni 🔥 🔥 🔥.
Ina episode 8, ni ya Mwaka huu, ina mwezi 1 tu.
Numbisa, Nifah, dosho12, Selikavu, Edo kissy, Mac Alpho, Razorblade
View attachment 3412682
Inaonekana Kali🙌chilling alone, currently watching hii school drama ni 🔥 🔥 🔥.
Ina episode 8, ni ya Mwaka huu, ina mwezi 1 tu.
Numbisa, Nifah, dosho12, Selikavu, Edo kissy, Mac Alpho, Razorblade
View attachment 3412682
Kulala ni kipaji pekee nisicho nacho 😂 😂Saa saba usiku mkuu haulali?
NzuriInaonekana Kali🙌