Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Why anacheka sasa akiiskia, anajua maana yake?

Hizo zote bado cha uvivu mie 😂
ana jua maana yake maana huwa ana enda madrasa, hiyo kauli ili semwa na kobisi bonge wa kwenye kombolela.

Sasa huwa niki irudia kuisema Mimi, basi mbavu hana maana jamaa ni muhuni mno😂🦅

anza na Alice in borderland Kali mno.
 
Mkuu shusha na zingine za action series na high school series
 
Leo inatoka episode ya mwisho ya The First Night With The Duke

Moja ya dramas zisizo na DRAMA mwaka 2025,wamenyoosha stori hamna kusumbuana kwenye mapenzi 👌
 
Back
Top Bottom