Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ile nimetoka tu kushukuru hapa na kusifia chuma kikala moto aah mpaka nikajihisi nimewaponza labda afisa doria(wa lissu)alienda kushtaki ubalozini masuala ya copiraiti
binafsi nimeitumia kwa miaka mitatu😃😃😃 nikipata nyingine PM itabid itumike sasa🤣🤣🤣japo ni kawaida kufungiwa hizi website kwa ajili ya copyright
 
Nasubiri hiki chuma kisambae, kuna mjapani kwenye group kasema ni 🔥 🔥 🔥 .
Selikavu, Edo kissy, Mad Max, Razorblade, Watu8, dosho12
FB_IMG_17529069360813362.jpg
 
Back
Top Bottom