Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sema mkubwa wetu mjanja sana amekwepa mawe ya wengi kwa kumshambulia Dr wa watu 😂

Ila wewe hukumuacha salama 😂
 
Sema mkubwa wetu mjanja sana amekwepa mawe ya wengi kwa kumshambulia Dr wa watu 😂

Ila wewe hukumuacha salama 😂

Yule Dr ana damu ya kunguni dadeq manake haiwezekani kina comrade wameenda kinyume na uzi mapema kuliko yeye

Lakini watu wamemtolea uvivu yeye kuliko mzee wa kutroll
 
Hamna nilitaka niwatag nyie familiya ila nikapoa kwanza, maswala ya pruuu mpaka maka sikuyataka 😂
🤣🤣Pruu mpaka maka haunikuti kiakili wewe ni mpuuz puuzi unaptia vyema🤣🤣🤣


Dizasta kichwa cha mwendanwazimu🤣🤣
 
🤣🤣Pruu mpaka maka haunikuti kiakili wewe ni mpuuz puuzi unaptia vyema🤣🤣🤣


Dizasta kichwa cha mwendanwazimu🤣🤣
Nikabaki kuangalia waoendanao wakirekebishana
Sema kajikaza kutetea hoja yake ati aliamua kwenda kinyume na uzi

Binafsi ningekuwa yeye ningekaza hapo hapo manake katag watu wengi
Mimi ningekaa kimya kabisa, unajua ukiendelea kujibu nao wanazidi kukushambulia 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…