Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Comrade wangu Joanah, tumia kiss kh
FB_IMG_17538656525552655.jpg
 
Mwanangu Selikavu ,kosi letu rasmi litaitwa Alpha Team (Team Gunman) kosi la ushindi kama la 'Descendants of the Sun' .

Mimi ndie Big boss Captain Joo si Jin (Song Joon Ki ) , wewe yule mwamba mkali aliyeng'oa pisi mtoto wa Kamanda , wanaobaki ndio wengine katika Alpha Team . Bill the Don Intelligent businessman ni yule jamaa msaliti American aliyeanzisha genge la madawa ya kulevya (Ghayos Gang).
images (72).jpeg
 
Back
Top Bottom