Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mwanangu Selikavu ,kosi letu rasmi litaitwa Alpha Team (Team Gunman) kosi la ushindi kama la 'Descendants of the Sun' .

Mimi ndie Big boss Captain Joo si Jin (Song Joon Ki ) , wewe yule mwamba mkali aliyeng'oa pisi mtoto wa Kamanda , wanaobaki ndio wengine katika Alpha Team . Bill the Don Intelligent businessman ni yule jamaa msaliti American aliyeanzisha genge la madawa ya kulevya (Ghayos Gang).View attachment 3425134
Intel msaliti, hii nzuri.
 
Intel msaliti, hii nzuri.
H hahahahah!!

Intelligent businessman ndio Argus Msaliti kwenye ile series...

Kipindi hiko tukiwa pamoja wasoja vitani
images (73).jpeg

Sasa Kawa jeuri baada ya kuForm alliance na vingenge vya wahuni.
images (74).jpeg
 
Nimeimaliza Lawless lawyer, ni kiukweli. Hivi lile limwamba, Choi min so ( Mayer wa Ki seong ) lipo ka limelewa au limesizi muda wote nakumbuka kwenye Royal Gumbler lilikuwa mfalme Sukjong, The Legend,Faith, Warrior Baek dong su, Golden Cross,Blade and Petal. Limenogesha kazi hii ya Lawless lawyer.

Mwamba huyu Lee joon gi ( a.k.a Bishoo wa Seul kama alivyobatizwa na DAEMUSIN) sijawahi kuona kazi mbovu toka kwake. Mpk sasa kazi zake ambazo nimepitanazo ni
Iljimae, Time btn dog and wolf,
Two weeks, Athdal Chronicles
Lawless lawyer, Moon lovers
Tale of Arang.

Nimeianza Mirror of the Witch ni kama vile inanishinda japo bado episode

Any recommendations wakuu
 
Zitafute Joseon Gunman, Again my life na Flower of evil, huyo mwamba namuelewa sana hana show mbovu.
 
Kuna mwamba aliniuliza ati kati ya hawa viburi. Kim Nam Gil( Bidam Rang) na Jang Hyuk( Dae Dil) nani anadharau zaidi. 😂
 
Nimeisoma kiasi pia, nachomaanisha nikwamba boyfriend wake anatakiwa aikubali hiyo hali(maana imefichwa hapo)

Naiangalia hapa episode ya kwanza boyfriend kashaanza kumuona girlfriend(ambaye amebadilika kuwa wa kiume) handsome 😂

Kashaanza kumtamani 😓

Sijui nitemane nayo
 
Back
Top Bottom