Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Nime furahi kusikia hilo, kupeza ni Kuku miss mchumba angu😊❤️Nimeshaacha kwa ajili yako 😍
Kupeza ulimaanisha nini?
Nime furahi kusikia hilo, kupeza ni Kuku miss mchumba angu😊❤️Nimeshaacha kwa ajili yako 😍
Kupeza ulimaanisha nini?
Pamoja.Ngoja niichungulie hiyo KARMA.
Pole shemeji, vipi umempa stars au umemuua? 😂Law and the city
What a boring kdrama!!naenda kuimaliza kwasababu main leads nawapenda,kesho inatoka episode ya mwisho
Sijareact chochote nimeamua kuangalia halafu niwasamehe na kuwasahau kwa kunimalizia bando langu na mudaPole shemeji, vipi umempa stars au umemuua? 😂
Mara nyingi huwa kabla sijapakuwa series naisoma kwanza, jaribu kuwa unafanya hivyo ili usiwe unachoma bando kusiko na faida.Sijareact chochote nimeamua kuangalia halafu niwasamehe na kuwasahau kwa kunimalizia bando langu na muda
Hii drama ilikuwa niiangalie regardless kwasababu ya main leadsMara nyingi huwa kabla sijapakuwa series naisoma kwanza, jaribu kuwa unafanya hivyo ili usiwe unachoma bando kusiko na faida.
Anhaa! Haya malizana nayo kiume.Hii drama ilikuwa niiangalie regardless kwasababu ya main leads
Ndio maana tangu episode ya kwanza niliona boring lakini nipo nayo hadi mwisho
Nime penda ulivyo muita, weka namba muhasibu wa ma jobless pro max aku tumie ka kitu kadogo.Pole shemeji, vipi umempa stars au umemuua? 😂
NIme stream tu kaka 🤣 😂Leta link kabisa
Kufa🤣huna Faida kabisaNIme stream tu kaka 🤣 😂
basi kaka, acha nika ishi na Binti joh🤣😂Kufa🤣huna Faida kabisa
Bure kabisa wewe🤣🤣🤣
Sawaa mkasuke mikeka kabisa sasa😃😃basi kaka, acha nika ishi na Binti joh🤣😂
tumesha acha, labda nimsuke rastaSawaa mkasuke mikeka kabisa sasa😃😃
Umeona ule uzi wa Unapenda mpenzi wako akufanyie nini🤣🤣🤣tumesha acha, labda nimsuke rasta
wahala, 😂 😂Umeona ule uzi wa Unapenda mpenzi wako akufanyie nini🤣🤣🤣
Nenda unakuhusu
Uhakika mkuu.Omniscient reader ni nzuri
My beautiful onyinye Joanah
Wahuni: Selikavu, dosho12, Selikavu, Edo kissy, Razorblade
Numbisa, Nifah, Mac Alpho,
View attachment 3437669
Familiya kabisa 😂Nime penda ulivyo muita, weka namba muhasibu wa ma jobless pro max aku tumie ka kitu kadogo.