Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Tunaoifatilia beyond bar na bon apetite your majesty tujuane
Mambo ya sheria sipendi ila for some reason nimejikuta nafatilia sana hii beyond bar
 
IMG-20250828-WA0030.jpg


Alice In Bordeland: S03(September 25)

Wakati wa kuwaona tena Arisu na Uragi umewadia, tuombe uzima.
 
Jumong nimeanza kuirudia tena na nasema hakuna best Korean drama zaidi ya Jumong yaani ile ni shule tosha visa vimepangiliwa na matukio yamepangiliwa kwa ustadi mkubwa na wahusika wa mule wameigiza kwa hisia sana mpaka unapata mitihani kumchagua best actor .

Nimeirudia zaidi ya mara Tatu lakini kila mara naiona kama mpya kwangu , Kuna vitu nagundua ambavyo mwanzo nilipita tu kawaida . Nikiifanyia uchambuzi naweza kutunga hata Kitabu cha volume 5

Huyu mwamba respect sana Mzee wa wenge na matambo Moja kati ya watu walioupiga mwingi mule anajua sana kuigiza View attachment 3447824

Cc : Mufti kuku The Infinity
Sikubahatika kumaliza Jumong ,je Inaweza zidi uzuri wa hizo drama mbili?
JEWEL IN THE PALACE
SIX FLYING DRAGON
 
Back
Top Bottom