Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sasa nipo na Iljimae na My Country kote ninevuka zaidi ya episode kumi sina vibe sana ya kuangalia .

Sasa sijapata series ya kijasusi , siasa , stori Kali na mkono wa maana ambazo zitanipeleka puta Kulala mpaka saa 7 .

Bado natafuta yenye vibe na taste kama Six flying dragon na muendelezo wake Tree with a deep root , Vincenzo, Emperor of the sea nk sijapata kwa hakika.
 
Mpaka leo nasubiri season 2 ya vyuma hivi vya kichina na korea, ila sioni mwanga.

Song of bandits- korea
Black night - Korea
sword snow stride - china
Princess agents - china
vagabond - korea
 
Sasa nipo na Iljimae na My Country kote ninevuka zaidi ya episode kumi sina vibe sana ya kuangalia .

Sasa sijapata series ya kijasusi , siasa , stori Kali na mkono wa maana ambazo zitanipeleka puta Kulala mpaka saa 7 .

Bado natafuta yenye vibe na taste kama Six flying dragon na muendelezo wake Tree with a deep root , Vincenzo, Emperor of the sea nk sijapata kwa hakika.
angalia two weeks, the last beggar war 😂😂 ni 🔥 🔥
 
Huyu Mzee kiboko ; kwenye Jumong Moja ya character niliyoipenda na ya King Geumwa ni Mzee wa misimamo hayumbishwi halafu ana majibu short and clear akili nyingi haogopi Wala kusita kwenye suala zima la Maamuzi Magumu
IMG_20250821_104356.jpg
 
Jumong nimeanza kuirudia tena na nasema hakuna best Korean drama zaidi ya Jumong yaani ile ni shule tosha visa vimepangiliwa na matukio yamepangiliwa kwa ustadi mkubwa na wahusika wa mule wameigiza kwa hisia sana mpaka unapata mitihani kumchagua best actor .

Nimeirudia zaidi ya mara Tatu lakini kila mara naiona kama mpya kwangu , Kuna vitu nagundua ambavyo mwanzo nilipita tu kawaida . Nikiifanyia uchambuzi naweza kutunga hata Kitabu cha volume 5

Huyu mwamba respect sana Mzee wa wenge na matambo Moja kati ya watu walioupiga mwingi mule anajua sana kuigiza
IMG_20250821_104653.jpg


Cc : Mufti kuku The Infinity
 
Huyu Mzee kiboko ; kwenye Jumong Moja ya character niliyoipenda na ya King Geumwa ni Mzee wa misimamo hayumbishwi halafu ana majibu short and clear akili nyingi haogopi Wala kusita kwenye suala zima la Maamuzi Magumu View attachment 3447816
Alijitahidi sana ila ukiangalia vizuri unagundua maamuzi mengi alikuwa anafanya kwa sababu alikuwa akijihisi mwenye hatia kwa kilichomtokea Hae Mo-su na hapo hapo ni kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo kwa Lady Yuhwa.

Binafsi hata niangalie series kali kiasi gani lakini hii bado ni namba 1 kwangu.
 
Sijui kwanini hio jumong sijamuelewa huyu mzee. Namuona kama boya kuangamiza kizazi chake kisa utelezi tena sehemu asipopendwa
Huyu Mzee kiboko ; kwenye Jumong Moja ya character niliyoipenda na ya King Geumwa ni Mzee wa misimamo hayumbishwi halafu ana majibu short and clear akili nyingi haogopi Wala kusita kwenye suala zima la Maamuzi Magumu View attachment 3447816
 
Kweli ya kufikirika,mwanzo tu naona mambo ya kufikirika...
Ati mtu kachoma nyama kwa moto wa nyasi tena ndani ya dakika 3
Kuna rafiki/ndugu yako unajua kabisa akikusimulia story basi kwa asilimia kubwa ni uongo lakini kwa namna ambavyo anapangilia story unajikuta unafurahi tu akusimulie.

Ndo hizi story za kufikirika zilivyo, huwa naburudika sana nikiziangalia.
 
Back
Top Bottom