Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Thanos hafai hata usi mtaje jina, asije tokea hapa na quote zake za ajabu.

ali mwambia tony stark, "you're not the only one blessed with the curse of knowledge 😂😂🦅
pale tony alipotumia nguvu zake zote kulipiga alafu likasema "all that for a drop of a blood"😅
Dah! Nimemaanisha thanos wa squid game wakuu 😂
 
Sijui kwanini hio jumong sijamuelewa huyu mzee. Namuona kama boya kuangamiza kizazi chake kisa utelezi tena sehemu asipopendwa
Hamna wazazi Wana makosa ndoa yake na Mama Daeso ilikuwa ya kisiasa na sio chaguo la Geumwa .

Maana Buyeo iliungana na SaChuldo , na huko kabila lenye influence kubwa na lenye madaraka ni 'Maga Clan ' analotokea Queen , sasa ilimradi kuimarisha ushirikiano Wazee wakafosi ndoa matokeo yake jamaa akawa hamjali Mke Wala watoto hata kabla ya Mama yake Jumong kufika yeye Geumwa alikuwa mbali na Mke na familia bize tu na Damul Army.

Ila aliyumba kuonyesha mapenzi ya wazi kwa Jumong na Mama yake huku akiwa kavu kwa Queen na Familia yake na Hilo likachochea chuki.
 
Sikubahatika kumaliza Jumong ,je Inaweza zidi uzuri wa hizo drama mbili?
JEWEL IN THE PALACE
SIX FLYING DRAGON
Jewel in the palace sijawahi kuona

Ila kwa six flying dragon inaweza zidi Uzuri au kulingana ila six flying dragon ipo moto kwenye mfuatano wa matukio tukio linapekwa mputa mputa bila kuachwa nyuma .
 
Tbt: tale of nokdu, humu vicheko, plotting, panga, romance kiasi.

Rating 9/10.

Numbisa, dosho12, Razorblade, Nifah, Khantwe, Angel Nylon, D A E M U S H I N
FB_IMG_17569360260325433.jpg
 
Back
Top Bottom