Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Mpaka wapagaweππMbele mbele yao π
Ehh jisajili tu, haina nongwa mbona.Nimejaribu ni nzuri lakini kudownload inasema nisign in
Ungebaki upelekewe moto mzeeπππalikuwa amekaba kila sehemuEwaaah! Vile sipendi kelele nikala kona π
Halafu si unajua kule niliitikia wito tu, siyo pande zangu kabisa zile πUngebaki upelekewe moto mzeeπππalikuwa amekaba kila sehemu
ππππMaeneo ya mamtu kule embu twende leo πHalafu si unajua kule niliitikia wito tu, siyo pande zangu kabisa zile π
Siendi kule maana naweza daiwa picha πππππMaeneo ya mamtu kule embu twende leo π
Unatuma tuu si unahide faceππSiendi kule maana naweza daiwa picha π
Me niliombwa na Rasi wa min me sijalud adi leo π ngoja nikalipe tuu ahadi ni deniππSiendi kule maana naweza daiwa picha π
Fam nikikupa tu simu yangu unaweza tafuta picha ukakuta zote ni picha za kale, huo muda wa kupiga picha bila sababu ya msingi sina πUnatuma tuu si unahide faceππ
Ukiselfika nitag πMe niliombwa na Rasi wa min me sijalud adi leo π ngoja nikalipe tuu ahadi ni deniππ
Picha nitakayoweka ilikaa profile Whatsapp mwezi mzimaπππkama hukuzingatia sawaaππila sikutagπ€£π€£Ukiselfika nitag π
Me mwenyewe last seen ni mwezi wa tatuπππFam nikikupa tu simu yangu unaweza tafuta picha ukakuta zote ni picha za kale, huo muda wa kupiga picha bila sababu ya msingi sina π
Sikuzingatia πPicha nitakayoweka ilikaa profile Whatsapp mwezi mzimaπππkama hukuzingatia sawaaππila sikutagπ€£π€£
Kuna yale mazingira naanza kujifikiria eti nikae namna gani ndo nipige picha, hiyo kazi ngumu πππMe mwenyewe last seen ni mwezi wa tatuπππ
Tuwaachie other gender hili swala la picha ππKuna yale mazingira naanza kujifikiria eti nikae namna gani ndo nipige picha, hiyo kazi ngumu πππ
Mimi hayo mambo siyawezi πTuwaachie other gender hili swala la picha ππ
Pamoja mkuu , shukrani sanaHizi drama za zamani ukitaka kuzipata nyingi, search KimoiTv huko, hiyo Dae Jo young nimeifuatilia yote ikiwa na subtittle kutoka huko.