Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ndio kwanza ametumikia miezi 2 ila inaonekana umeshachoka kuwa mpweke nilikushauri njia pekee ya kuondoa stress ni kutembelea fans thread yake
Kwa kweli hadi miaka miwili iishe ntakuwa nimeisoma namba
 
Hiyo suspecious parter nimeangalia ep3 tu bado haijanivutia sana ila naimani itakuwa nzuri,maana yule jamaa mule huwa haniangushi.

Mi pia nataka nianze hiyo my sassy girl na queen of seven days.
Yaani naomba uangalie iyo Queen of Seven days ni Nomaaa yaani utaichoka inasisimua balaa,Na ina Ost nzuri sana kam ni mpenzi wa zile nyimbo
 
ahsante kwa kunipa taarifa mpya niliikuwa sijui,kwa sababu walikuwa pamoja kwenye mji wa Bali nchini Indonesia
Na walijaribu kuficha sana huu uhusianon wao,Na kitu kimojawapo nachowapendea mastar wa korea,wanajaribu sana kutofautisha kazi na maisha yao binafsi safi sana yaani, Nimeikubali sana Relationship yao,Japo wengi wansema kuwa Song hye Kyo anaweza kuwa Mjamzito...
 
Mie ile good doctor alikua ananiuzi alivyoigiza.

Saiv naangalia Suspicious Partner nataka niianze na my sassy girl. Umeziona?
Uyo alocheza kwenye bridal Mask si ndo anacheza now kwenye My sassy girl....
 
Naombeni Muangalie FIGHT FOR MY WAY Hii drama kama kurelax na kuenjoy yaani apa ndo mahala pake, Ina vichekesho sana na ni nzuri pia, Forever Korean Drama
 
agent wake amekanusha habari za kuwa ana ujauzito
 
Yaani naomba uangalie iyo Queen of Seven days ni Nomaaa yaani utaichoka inasisimua balaa,Na ina Ost nzuri sana kam ni mpenzi wa zile nyimbo
wedding scene kulikuwa na mvua wakati wa shooting





 
wedding scene kulikuwa na mvua wakati wa shooting





Duuuuh!!! hii drama ni balaa, ivyo vipande vitakuwa ni episode ya badaee leo??? Nimetokea kumpenda sna male lead japo cjawah ona kazi yake nyengine .....Mi Park min young tuh laah, Namkubali sna uyu dada ajuh kununa yaani Muda wote ni kucheka tuh,ata ukiangalia behind the scene za Drama alizocheza Unamuona ni Kutabasamu tuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…