Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Unayempachika madarakani katudondosha sana kelele nyingi za ujobless na kukesha kuangalia drama kumbe hajui matumizi ya VPN. Tangu JF ilambe mweleka bila VPN hajaonekana.

Intelligent businessman uache kumsumbua Joanah maana hujui matumizi ya VPN au waogopa kifungo cha tcra?

Mitano tena kwa Daemushin.
 
Rais wangu siku hizi sijui amekuwaje maana ikifika usiku unamkuta kwenye uzi wa JF usiku wa manane lakini huku haudhurii.

Intelligent businessman unahitajika huku kukabidhiwa madaraka.
 
Mimi niwa ogope tcra kwa lipi Sasa?, siku hizi niko bize jukwaa la usiku wa manane maana huku sikuona mdau.

Kuhusu binti Jo sitaki kujua, maana nikisema namuoa walimwengu wenye nongwa mtataka kuniua😂😅
 
It's a great thing to be recognized brother, hongera kwa kuwa mwenyekiti wa bila kuchaguliwa.

Ina onyesha uli iangalia vizuri drama ya six flying dragon, na lee bang won ndiye master wako.

Mimi kama jang Hyuk nakamata upanga, nita iongoza dynasty yetu vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…