Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Anapiga kazi chafu kwenye hisia yupo vizuri , kwenye usiriaz , uchangamfu nk halafu muonekano unambeba , Hana tu Martial skills kwenye mkono hawezi kabisa ana bahatisha na kupigana kivivu.

Mara ya kwanza nilimuona kwenye Arthdal Chronicles 1 nikadhani underground kumbe mkongwe
Jamaa alifanya kazi nzuri sana kuigiza mapacha kuliko hata lee jun ki
 
Mwamba alizingua , hakutaka kuvunga ila ndio hivyo ukiwa superstar lazima ulizwe kwa nini mmeachana sasa Mwamba kajisafisha yeye huku roba la misumari kamuachia manzi .

Manzi series yake ya kwanza baada ya sakata la ndoa ilivynja rekodi viewers wengi na alapata na tuzo , support kwa manzi imeongezeka .

Ilihuzunisha tukio la uzinduzi wa series mwandishi wa habari alimuuliza kuhusu ndoa yao akasema "kwa Nini mmeachana mapema wakati mlikuwa mnaoneka ni watu Wenye furaha na couple nzuri na vipi kuhusu tuhuma za kwamba wewe ndio chanzo" Manzi akashindwa kuendelea na press akawa analia tu akashindwa kujibu akaondoka akarudi baadae na kumoumba radhi mwandishi wa habari na kusema sakata la ndoa limemfanya asiwe sawa Kisaikolojia muda mwingi alikuwa na stress na akikumbuka yalitokea anashindwa kujizuia.
Ndoa za mastaaa nazo huwa pasua kichwa tuu😃😃
 
Anapiga kazi chafu kwenye hisia yupo vizuri , kwenye usiriaz , uchangamfu nk halafu muonekano unambeba , Hana tu Martial skills kwenye mkono hawezi kabisa ana bahatisha na kupigana kivivu.

Mara ya kwanza nilimuona kwenye Arthdal Chronicles 1 nikadhani underground kumbe mkongwe
Mzoefu kabisa😃ila ndo hivyo ndoa imemuharibia basi
 
Jamani ile channel yetu ya kibongo imefungiwa kule Telegram siwezi kuweka chochote, nafikiria cha kufanya.

Imeniumiza sana, mimi na mdogo wangu hapa (kila siku anabadili ID sijui anajiita nani sasa hivi) tumeweka drama nyingi sana kule.
Imekuwaje hata ikafungwa?
jeuri ya kubadilisha mijihela na magari kama dully kizimkazi sina, basi hata username za JF wanted pia nishindwe.
 
Imekuwaje hata ikafungwa?
jeuri ya kubadilisha mijihela na magari kama dully kizimkazi sina, basi hata username za JF wanted pia nishindwe.
Telegram walinitumia ujumbe kwamba Channel imeripotiwa na Multichoice SA, nikawatumia email hao jamaa hawakujibu.

Kila nikijaribu kuweka content kwenye Channel haikubali, jaribu wewe tuone.
 
Jamaa alifanya kazi nzuri sana kuigiza mapacha kuliko hata lee jun ki
Mimi nilianza kuicheki Arthdal 2 Lee jong Ki nikaona Kali kinyama nikatonywa Kuna one yake nilivyoicheki nikamkubali mwamba wa season 1 Song Joon Ki , naona yeye katisha zaidi kupatia kwenye role za mapacha .

Nadhani season tu akipigwa chini huenda sababu ilihitaji mtu Mgumu mwenye skills za kupigana .
 
we kenge nilikuwa na aunt yako mida Ile, hahaha hamna kitu ka hicho jang Hyuk yuko fresh.
Tokea asubuhi nilikuwa sipo online jioni nimeshika simu Jf haifunguki sio kwa app Wala browser, nikaona niwatafute Wadau wanipe Alternatives wewe ndio ukayumba nikamcheki Selikavu mnyama akajipa mbinu ya VPN bila hivyo ningekaa kijinga kama Maghayo The Mongolian Savage.

Nilikuwa sijui kama na VPN unaweza kuAcces nilijua nitakaa bechi miezi yote ila sasa nakimbiza kwa nipo Italy now.
 
Muda una nicheki nilikuwa niko nime banana, ila sio mbaya if problem is solved
 
Tokea asubuhi nilikuwa sipo online jioni nimeshika simu Jf haifunguki sio kwa app Wala browser, nikaona niwatafute Wadau wanipe Alternatives wewe ndio ukayumba nikamcheki Selikavu mnyama akajipa mbinu ya VPN bila hivyo ningekaa kijinga kama Maghayo The Mongolian Savage.

Nilikuwa sijui kama na VPN unaweza kuAcces nilijua nitakaa bechi miezi yote ila sasa nakimbiza kwa nipo Italy now.
Nipo Tokyo kaka😂😂😂ni kuhama tu Ip leo😃😃
 
huu mwaka nimepumzika kwa sababu ya uchaguzi wa chama dola,
licha ya kwamba nimepata kura 10000 jimboni kwangu Makunduchi dole pembeni.
wajumbe wa kamati kuu wamenishauri nipumzike kwa miaka mitano, niendelee kuwapa nafasi wakongwe.
sijawakatilia.
 
nimerudi kwa speed ya Trigger drama,
kama nawaona waandishi wanavyotupeleka katika dunia ya matumizi ya risasi kiholela nchini korea mfano wa nchi ya migug (marekani - 미국).
mapambano ya kuendelea kuitamani korea bila ya risasi holela yanaendelea hata kwa sanaa.

nimebakisha drama moja ya bwana kim nam gil ambayo sijabahatika kuiangalia, nitawatajia mwakani.
Mmoja kati ya A list actor nchini korea halafu halijaoa kama mimi na limenizidi kweli kweli kiumri.
1757434197241.png
 
Back
Top Bottom