Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Rais wangu siku hizi sijui amekuwaje maana ikifika usiku unamkuta kwenye uzi wa JF usiku wa manane lakini huku haudhurii.

@Intelligent businessman unahitajika huku kukabidhiwa madaraka.
kauli ya umma ni kauli ya Mungu si ndio,
anaweza kuongoza bwanaa, hata akituibia mbegu na mazao hatutolalamika.

sisi ni sungura janja wa mtandaoni.
 
Ina onyesha uli iangalia vizuri drama ya six flying dragon, na lee bang won ndiye master wako.
nimejifunza kutoka kwa marafiki wawili waliokuja kuwa maadui kwa sababu ya kutofautiana kwa mitazamo.
mmoja aliamini katika renovation ya nyumba (poeun) na mwengine aliamini katika ujenzi wa nyumba nyengine (sambong).

mimi ni mgoguryeo kutoka visiwa vya karafuu na si mjoseon,
nafsi yangu huko zamani (karne ya 7) ilikuwa ndani ya kiwiliwili cha mwanadamu mmoja alieitwa EULJI MUNDEOK.
cha ajabu hii nafsi imehifadhiwa kwenye mwili wa mwanadamu lege lege katika karne ya 20.
sasa nimeamini aliezaliwa simba huko zamani, akizaliwa tena anakuwa chawa lakini si wa chama dola.
 
kauli ya umma ni kauli ya Mungu si ndio,
anaweza kuongoza bwanaa, hata akituibia mbegu na mazao hatutolalamika.

sisi ni sungura janja wa mtandaoni.
Huyo hana shida kabisa ila sasahivi amekuwa mpweke comrade wake hamuoni, madaraka umempatia kwenye kipindi kigumu sana πŸ˜‚

Ila atatuongoza vyema, tunaimani nae.
 
Huyo hana shida kabisa ila sasahivi amekuwa mpweke comrade wake hamuoni, madaraka umempatia kwenye kipindi kigumu sana πŸ˜‚

Ila atatuongoza vyema, tunaimani nae.
hata namba ya simu amenyimwa na joanah?
nanusa harufu ya unrequited love.

hata hivyo atasafiri peke yake, kwani ulishawahi kumuona mume wa raisi
 
hata namba ya simu amenyimwa na joanah?
nanusa harufu ya unrequited love.

hata hivyo atasafiri peke yake, kwani ulishawahi kumuona mume wa raisi
Comrade wake nahisi amekubaliana na ban ya siku 90.

Mume huamua mke hutii, mke hutii mume huamua.
shenzi zenu, nita piga mtu panga Sasa hivi πŸ˜‚πŸ€£
 
msemaji wangu atatoa taarifa ya kukanusha hii kauli, mtoaji wa kauli hii ni mkorea mtandao na si mkorea wa taifa kwanza.

apokonywe ubalozi wa likes
πŸ˜›πŸ˜›
Nashukuru kwa kukataa kufanya revolt, hawa kina Numbisa ni ma spy wenye ndugu huko japan so lazima tuwe makiniπŸ˜‚
 
Mpaka Jo aibuke🀣🀣🀣
wewe na Numbisa mna shida gani lakini🀣🀣
Hiki cheo umepachikwa,utakitema tu maana una comments fupi fupi kama vi kdrama vya Netflix wakati mwenyekiti daemushin anatoa comments ndefu mtu anaielezea joseon kama alishafika vile. Akicharukwa anaongea kama mlevi wa soju au makgeol.
Nashukuru kwa kukataa kufanya revolt, hawa kina Numbisa ni ma spy wenye ndugu huko japan so lazima tuwe makiniπŸ˜‚
 
Usi nitishe, jo ndo nani kwenye utawala wangu?.

Ni marufuku jo kutajwa kwenye empire yangu, nakuwa Kama mfalme wa kwenye scarlet heart
 


Genre: Spy thriller, political intrigue, espionage

Plot: Mwanadiplomasia wa zamani na wakala maalum wa ajabu lazima afichue ukweli juu ya njama iliyoenea ulimwenguni ambayo huanza na jaribio la kumuua mgombeaji urais.

S01, 03E on Air(Ongoing).
 
Kichwa cha comrade wako unakijua akiingia tu anapita na comments zako zote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
lee bang won una mkumbuka?, ali angalia uongozi zaidi badala ya mapenzi.

Nami nachagua uongozi, maana hawa kina Numbisa wana taka kumfanya jo awe great queen jojoraπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…