Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Eti anataka kumaanisha “Single and ready to mingle” 😂Aah kaka upo single tangu lini😃😃
Comrade akija atakichafua humu kijana anahatarisha usalama wake 😂😂😂
Eti anataka kumaanisha “Single and ready to mingle” 😂Aah kaka upo single tangu lini😃😃
Chama kipo strong kabisa 😃😃😃harakati zetu huwa ni za msimu😃😃Rais kaua chama cha Majobeless sioni harakati zozote za maana na maendeleo , Bora mngebaki na Muimba SINGELI tu maana ana future Majobeless mngefika mbali.
Jobless ni katika movement iliyofeli mapema sana Jf humu imezidiwa na Makapuku , Chaputa , Kataa ndoa , No Fap hata Uwabata.
Cc : Razor atamfunga Negan lin
Huyo achana nae mkuu atakuumiza kichwa bure, ameshaanza kufuata nyayo za ma tamu wake 😂😂😂Mkuu Razor atamfunga Negan lin umebadili jina 😃😃
😃😃Chama kipo strong kabisa 😃😃😃harakati zetu huwa ni za msimu😃😃
Aisee ndio nimeona Leo mwanangu kachenji jina 😃😃😃Huyo achana nae mkuu atakuumiza kichwa bure, ameshaanza kufuata nyayo za ma tamu wake 😂😂😂
Hapa kati tulikuwa tunaweka sawa maswala ya partners kwanza maana chama kinahitaji warithi idara zote 😂😂😂Chama kipo strong kabisa 😃😃😃harakati zetu huwa ni za msimu😃😃
Haichoshi hiyo mkuu kula maisha.Nipo nairudia Jumong
Yupo penzini huyo taratibu athari za penzi na shemeji yetu a.k.a ma tamu wa SK cocastic zinaonekana 😂Aisee ndio nimeona Leo mwanangu kachenji jina 😃😃😃
Nipo namtania Noob pro max Razorblade 🤣🤣Mkuu Razor atamfunga Negan lin umebadili jina 😃😃
Jitaid umfunge Negan mkuu🤣🤣🤣game 250 win 0 kwel 🤣🤣🤣🤣Huyo achana nae mkuu atakuumiza kichwa bure, ameshaanza kufuata nyayo za ma tamu wake 😂😂😂
Kaka niliona saiv ndo muda wa kufanya ujinga watu hawapo🤣🤣ila soon nalud kwenye jina langu🤣🤣🤣Aisee ndio nimeona Leo mwanangu kachenji jina 😃😃😃
Kumbee 😀😀😀Yupo penzini huyo taratibu athari za penzi na shemeji yetu a.k.a ma tamu wa SK cocastic zinaonekana 😂
😃😀😀😀😀 Pamoja sana kakaKaka niliona saiv ndo muda wa kufanya ujinga watu hawapo🤣🤣ila soon nalud kwenye jina langu🤣🤣🤣
Shemeji amejua kumkoleza ndugu yangu, jana namwambia tukaangalie Simba Day kakataa akasingizia anaumwa kumbe anataka kuongea na ma tamu wake 😂Kumbee 😀😀😀
Ubaya ubwela 😂Mwanangu wa kunisagia kunguni 🤣🤣
😃😃😃😃Shemeji amejua kumkoleza ndugu yangu, jana namwambia tukaangalie Simba Day kakataa akasingizia anaumwa kumbe anataka kuongea na ma tamu wake 😂
cocastic
Hahahahah!! I find this amusing.. na vya KamasutraKwel kabisa kusoma vitabu😃😃😃View attachment 3469403