Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kama unasoma Kitabu, waigizaji wako verry talented matukio yamepangiliwa vyema na mazungumzo Yao yamepangiliwa vizuri .

Ile kama shule Kuna madini ya maana , Mimi nimeirudia hii mara ya 3 naona kama mpya.
Jana nilikuwa napitia history yake nikakuta mkanganyiko kuhusu uzao wa Onjo.

Kwenye history inaeleza kuwa Onjo ni mtoto wa Jumong na siyo mtoto wa mume wa kwanza wa So Seo-no ingawa kabla ya kuolewa tena na Jumong alipata mtoto kwa mume wake wa kwanza ila history haijaweka wazi hata huyo mume wake wa kwanza alikuwa mtu wa aina gani.

Kwenye series kume punguzwa na kuongezwa baadhi ya matukio ili kuleta ladha zaidi.
 
Simba Day inafanyika mara 1 tu kwa mwaka shem ila wewe upo kila siku, ndugu yangu kazingua 😂

Tatizo ni mgeni wa haya mambo haya endelea kummeng'enyua 😂😂😂

Razor atamfunga Negan lin
Mwanangu unakabia juu mno😀😀😀 aina noma sisi pipo😀😀


Mechi yangu na wewe group kule we kimbia usilete timu uwanjani🤣
 
Back
Top Bottom