Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Halafu ukiona typing error uwe unanisanua kwanza kabla huja quote 😂😂😂Sema tuu ulimpata Tayana-wog kaka😀😀😀mambo mengi ndo kiswahili gan🤣
Halafu ukiona typing error uwe unanisanua kwanza kabla huja quote 😂😂😂Sema tuu ulimpata Tayana-wog kaka😀😀😀mambo mengi ndo kiswahili gan🤣
Najua unataka kuona namtumiaje Yamal na kwanini nimempa counter target 😂Mwanangu unakabia juu mno😀😀😀 aina noma sisi pipo😀😀
Mechi yangu na wewe group kule we kimbia usilete timu uwanjani🤣
Nilikuwa na tap tap iplay inakataa, zima data washa inakataa, kumbe ni screenshot😝😝#song of the day
romantic, hii kwa wenye wapenzi kama kina Nifah, Mac Alpho, dosho12, Numbisa, Razor atamfunga Negan lin, Razorblade, D A E M U S H I N,
Baby Doll sikiliza hii 😊🦋
#mimi niliye single, naziba masikio kabisa🦅
View attachment 3468685
Icheki YouTube 🦅Nilikuwa na tap tap iplay inakataa, zima data washa inakataa, kumbe ni screenshot😝😝
Pole kwa msiba mkuu.Rip # yu menglong
View attachment 3469801
Mwamba huyu, apumzike kwa amani.Pole kwa msiba mkuu.
Nime ichukuaNgoja tumwambie Mwachiluwi aongeze kwenye list yake ni nzuri
View: https://www.youtube.com/watch?v=jsL95t0xHOU
mkutano wa wafalme,
nimewamisi wahenga, hapo amekosekana Choi Soo Jung.
Kikao kingelizidi kupendeza
CC kwa subtitle
View: https://www.youtube.com/watch?v=jsL95t0xHOU
mkutano wa wafalme,
nimewamisi wahenga, hapo amekosekana Choi Soo Jung.
Kikao kingelizidi kupendeza
CC kwa subtitle
Huyo mwengine ni daeso,Hapo ninemjua Song ill gook pekee , Kawa bonge halafu babu sura imebadilika
Kwahiyo Joanah imekuwaje tena naona unamtag mwingine hapo? 😂apart from food, books, games, nothing is better than you baby doll😊😝.
Razor atamfunga Negan lin, mtumie mama sk hii, we janja Razorblade kikongwe wako ata elewa kweli😅😂.
Jaribuni hii taste Nifah, D A E M U S H I N, Numbisa Edo kissy, dosho12, nyau de adriz The Consigliere 🔥
View attachment 3472897
J nimeanza kumuogopa si mtu wa kawaida jana kwenye Uzi mmoja Kawa nyota wa mchezo kanipigia mtu spana ya hatari , mchizi alijifanya yuko mambele J akamuumbua utapeli wake kwa kuweza link nyuzi zake zenye taarifa zinazokinzana jamaa akawa anapopolewa tu na Wadau baada ya hapo.Kwahiyo Joanah imekuwaje tena naona unamtag mwingine hapo? 😂
Duh ! ngoja niwacheki freshHuyo mwengine ni daeso,
Mwengine ni jamaa fulani ameigiza mfalme jewel in the palace
Namba yako ninayo nita kupigia, acha uchonganishi fala😂😂Kwahiyo Joanah imekuwaje tena naona unamtag mwingine hapo? 😂