Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mwamba Razorblade yuko vizuri kwenye sector ya kuchochea kama Catalyst kwenye Chemical reactions .

Mwamba kimasihara amefanya mpaka Selikavu (Razor atamfunga Negan lin ) apate pisi Jf , yaani amegongea misumari ya kiuchochezi mpaka mgombea kakubali kinachosubiriwa ni Oktoba tu Selikavu mnyama atie tiki mchezo uishe.
😃😃😃😃 Mwanangu Razor mzee wa kunisagia kunguni😃😃
 
kijana wako Razor atamfunga Negan lin anayumba Mwambie kuwa Bakari Nondo si beki wa kutegemewa , na Jobless tunapambana katiba iboreshwe wanachama tuingie kwenye kampuni ya kuvuta majiko sasa nashangaa jamaa anarudisha nyuma harakati za maendeleo.

Akiwa seriaz Mimi najitole GHARAMA za mahali na ndoa kwa sharti shemeji awe yule yule maana ni perfect combo .
Mnataka Bro Alex ajinyonge sio🤣🤣🤣🤣
 
adriz The Consigliere Razorblade kumbe baby Doll yupo😃😃aiseeee mji mzito huu mtanipa summary what went Wrong this time na tunakaa upande gan😃😃japo inafahamika upande tunaonenda🤣🤣🤣hatuwezi acha Soju na skanka😃😃
KIng Daeso has made a deal with Yang_Jeong of Han about his daughter Sul_Lan . Both sides now are pushing a deal amazingly

After Seseono become aware of that deal, Daeso replied " I'm a King and and nobody cares for a King to have even 1,000 wives " .

Nacheki Jumong nairudia , kiongozi hii episode tamu nisamehe kwa Kingereza Changu kibovu nitakuwa nawapa updates , hii haihusiani na post ni summary ya episode ya Jumong niliyopo now.
 
Nina mpango wa kuirudia the land of wind.
 
Kwahiyo tushakuwa na Lady Seseono😃😃
 
Back
Top Bottom