Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

KIng Daeso has made a deal with Yang_Jeong of Han about his daughter Sul_Lan . Both sides now are pushing a deal amazingly

After Seseono become aware of that deal, Daeso replied " I'm a King and and nobody cares for a King to have even 1,000 wives " .

Nacheki Jumong nairudia , kiongozi hii episode tamu nisamehe kwa Kingereza Changu kibovu nitakuwa nawapa updates , hii haihusiani na post ni summary ya episode ya Jumong niliyopo now.

Ni mwendo wa codes tu dadeqqq
 
Uchawi huu, sema soseono pisi Sana😂🔥
Tokea nianze kutazama K-drama katika pisi Soseono hakosi Top 3 , tokea hata sijabalehe enzi hizo naangalia Jumong ITV nilikuwa navutiwa kumtazama tu Soseono . Tabasamu lake matata sana meno meupe na dental formular yake imekaa unyama sana.

Halafu sijawahi kucheki series Wala movies yake nyingine yeyote zaidi ya Jumong .
 
😂😂😂😂 enheeee uwepo wenu na support yenu naitambua na kuishukuru sana wakati huu wa uchaguzi
Heshima yako mkuu😃tunashukuru kwa kuona juhudi zetu😃😃
GTmSHC_XYAE9wNa.jpeg
 
Tokea nianze kutazama K-drama katika pisi Soseono hakosi Top 3 , tokea hata sijabalehe enzi hizo naangalia Jumong ITV nilikuwa navutiwa kumtazama tu Soseono . Tabasamu lake matata sana meno meupe na dental formular yake imekaa unyama sana.

Halafu sijawahi kucheki series Wala movies yake nyingine yeyote zaidi ya Jumong .
Ile mali imenyooka mkuu, ukisikja kisura cha upole ndo kile sasa.
 
Back
Top Bottom