Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wakati wewe ndio Anko wake? Waarabu wa Pemba nyie.
Niweke hapo kwa Anko wako niwe Anti yako tule mema ya Nchi 🤣

Jokes aside, mbona sioni option yetu pendwa download? Nataka niichukue sitaki kustream.

1758030738331.png

quality yake ni 480
 
😃😃😃😃Aiseee
Mimi Jumong nataka nitoke kwenye utawa wa Buyeo under King Daeso ndio maana sasa nataka kuunganisha makabila madogo madogo niunde empire mpya .

Sasa kabla ya kuungamisha kabila lolote lazima nijue background na potentiality yake ili nijue atafaa wapi na kuplay role ipi kwenye taifa jipya kwa maendeleo ya GoJoseon.
 
Ujasusi utakuua kaka😃😃
 
Back
Top Bottom