Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu legen D A E M U S H I N vijana wako Generation Z wanapindua jukwaa kutoka Gugreyo kwenda Joseon.

Jukwaa sasa linaenda mputa mputa sasa ni soga tu na mastori ya kuchangamsha kijiwe hawatoi recommendations and reviews.
nilishasema sitokuwa kama Jk wa Pemba, madaraka nimeshamuachia kijana.
hata kama nchi ikiendeshwa kama gari bovu, sitohusika tena hata na utoaji wa mawazo.

sitaki kuwashwa washwa,
nimeshajengewa nyumba na gari nimepewa nipumzike..
nipo zangu gwanghwamun

View: https://www.youtube.com/watch?v=1LRWqIEc1uc&list=RD1LRWqIEc1uc&start_radio=1
 
Mimi ni Loyal subject kazi yangu ni kutii maagizo , naomba niwe Chief General wa nchi kama Kamanda mkuu nitayazima makundi yote ya waasi na njama za chini za Mawaziri na mitandao Yao.
sangwang D A E M U S H I N ali nionya general hapaswi kuji chagua au kuji pendekeza, hivyo subiri utawala mwingine.
 
Mimi ni Loyal subject kazi yangu ni kutii maagizo , naomba niwe Chief General wa nchi kama Kamanda mkuu nitayazima makundi yote ya waasi na njama za chini za Mawaziri na mitandao Yao.
Mimi nafaa kuwa Chief General, na kuzima uasi na makundi maovu ndio kazi yangu hata ukicheki Profile na Cv yangu inajieleza .

Kumbuka kule mipakani Liaodong Mongolian tribes walipotaka kufanya uasi na kujoin na Ming Dynasty ya Wachina.

Mimi Chief General kutokana na uwezo wangu juu nikazima huo uasi na kupoteza wakubwa wote wa Ghayos Mongolian Gang (GMG) sasa hivi Maghayo , Busu la Kenge the stress challengerr wote hawapo Jf nimewapoteza , limebaki LiMongolia mmoja tu The Mongolian Savage ambaye sasa Hana nguvu tena na amekubali kutii mamlaka kwa kuogopa shows zangu za kikatili.

Nikiwa General katika utawala wa mfalme nitahakikisha hakuna uasi wowote na njama .
 
Back
Top Bottom