Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Naunga mkono hoja 😂Kama akiindelea na uzembe wake inabidi na Mimi nihamishie majeshi Selfika nikachochee moto mpaka October mwamba Selikavu awe kashatiki .
Naunga mkono hoja 😂Kama akiindelea na uzembe wake inabidi na Mimi nihamishie majeshi Selfika nikachochee moto mpaka October mwamba Selikavu awe kashatiki .
Huwezi kalaumiwa haki ya nani sikujua kama ndo kuna maraha kiasi hiki, umepata bahati njema kwa kutoa uvulana wangu 😂Naona naona
Nilaumu mimi tu niliyemtoa uvulana wake 😥
Hilo siyo tatizo, muhimu upo hapa.Loooh sijaona wallah!
Haki ya nani sikai mbali, nimescreenshot reply 😂😂😂😂 weekend hii usikae mbali na mimi kuanzia ijumaaaa
Kaka simu ziite😃kaka nime kosea wapi?, familia haina huruma 🦅
Karibu sana.huu uzi nauonaga ebu niweke kambi nijue radha yake
Tupo na wewe bega kwa bega 😂Kwahiyo mnaniamulia wanangu😃😃😃👋
Falaaa 😂Bora tungemwacha aendelee kujitunza,😃😃
Taarifa kwa sangwang D A E M U S H I N
Kuanzia leo Baby Doll atakuwa jungjeon mama, she is the best choice.
iwafikie mawaziri Razor atamfunga Negan lin, Razorblade, Numbisa, adriz The Consigliere atakaye kiuka adhabu kali yaja.
Acha uwaki wewe ataniua na nini? 😂Mpumzishe mkuu utamuua😃😃
Aaah! Umepigaje hapo? 😂Why do i smell wivu?
Wewe kama vipi unaweza kujoin na mwenzio Coca 😂😂
Mamiyake🤣Naunga mkono hoja 😂
Aaah! Hii mbona imekaa kimkakati sana, haki ya nani ulipo nipo.
Aaah! Hii mbona imekaa kimkakati sana, haki ya nani ulipo nipo.
mi sio mwanafamilia ila nimevutiwa na tamaduni zenu kwahiyo naomba kuwa nwanachama haiKaribu sana.
Kuhakiki kama wewe ni mwanafamilia tafadhali tunaomba recommendation ya series 5 unazozikubali, 3 za shamba na 2 za mjini.
sawa nasubirKama KE utafaa katika Ujenzi wa Taifa jipya , ngoja niandae summary za ABC .
Mkuu wewe baki hukohuko kama winger long passes zitakufikia tu maana katikati kasimama Luamba Ngoma.Mimi sio muanzisha mashambulizi ni mzuri wa kudandia mada nikitokea winga ya pembeni kama Mpanzu.
Mimi nashindilia misumari vijana wanapoanzisha kugongea tu . Mlaumu mwaao Mr Kiwembe
Hii taarifa imekuja ghafla na mbona huyo aliyeteuliwa haonekani kutokea kwenye koo zenye nguvu, huoni unahatarisha usalama wa dola?Taarifa kwa sangwang D A E M U S H I N
Kuanzia leo Baby Doll atakuwa jungjeon mama, she is the best choice.
iwafikie mawaziri Razor atamfunga Negan lin, Razorblade, Numbisa, adriz The Consigliere atakaye kiuka adhabu kali yaja.
Hii taarifa imekuja ghafla na mbona huyo aliyeteuliwa haonekani kutokea kwenye koo zenye nguvu, huoni unahatarisha usalama wa dola?
Tumekuwa pamoja tukishirikiana bega kwa bega katika utengenezaji wa taifa jipya na comrade Joanah, inawezekanaje baada ya kutawazwa kuwa mfalme mpya unatafuta malkia mpya?
Kwanini asiwe hata concubine?
Khalas 😂