Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Siku hizi mi na stream zaidi mkuu, maana site nyingi ziko corrupted.

jaribu hii kiss kh, au kiss asian 🔥 🔥, iwafikie Nifah, Razor atamfunga Negan lin, Razorblade, adriz The Consigliere, Numbisa, Joanah
View attachment 3473572
View attachment 3473575
Ona mkuu
Screenshot_20250916-215636.png
 
Hii taarifa imekuja ghafla na mbona huyo aliyeteuliwa haonekani kutokea kwenye koo zenye nguvu, huoni unahatarisha usalama wa dola?

Tumekuwa pamoja tukishirikiana bega kwa bega katika utengenezaji wa taifa jipya na comrade Joanah, inawezekanaje baada ya kutawazwa kuwa mfalme mpya unatafuta malkia mpya?

Kwanini asiwe hata concubine?

Khalas 😂
Sema mwanangu unapigilia Moja kwa moja hakuna hata code🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom