Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Mgeni hajatoa neno zaidi ya kuitika ukaribisho, ngoja tuendelee kusubiri.Kasemaje mgeni wetu?
Mgeni hajatoa neno zaidi ya kuitika ukaribisho, ngoja tuendelee kusubiri.Kasemaje mgeni wetu?
“We loved each other, we are now breaking up.”Navyoonaga uvivu sasa kusikiliza hizi videos(sikumbuki kama huwa nasikiliza attached videos hapa JF)
Nihadithie manake Iris yenyewe nimeigoogle ni ya 2009 huko sijui hata kdrama ni nini wakati huo
Enough, finished or done.Khalas ni nini shem lake Coca 😂
“We loved each other, we are now breaking up.”
“We are in different places under the same sky, but please don't forget me.”
Siyo mzuri kwenye kuandika lyrics ila hiyo mistari imebeba ujumbe uliojitosheleza.
Mgeni hajatoa neno zaidi ya kuitika ukaribisho, ngoja tuendelee kusubiri.
Hio bakuli si ndio unaambiwa kunywa ujimalize mwenyewe au nimekosea ?ko familiar na bakuli hili?, basi kaa kwa kutulia.
huyo Razorblade asi kupambe uji changanye.
adriz The Consigliere, Razor atamfunga Negan lin vijana kuweni tayari.
View attachment 3473559
Siku zote wafalme hawachagui Queen wenyewe huwa mashauri lazima yazingatiwe na yanawekwa mbele maslahi ya Taifa kwanza kabla ya moyo.Hii taarifa imekuja ghafla na mbona huyo aliyeteuliwa haonekani kutokea kwenye koo zenye nguvu, huoni unahatarisha usalama wa dola?
Tumekuwa pamoja tukishirikiana bega kwa bega katika utengenezaji wa taifa jipya na comrade Joanah, inawezekanaje baada ya kutawazwa kuwa mfalme mpya unatafuta malkia mpya?
Kwanini asiwe hata concubine?
Khalas 😂
😪Ooh thanks
Ni lyrics nzuri za mapenzi...nzuri lakini sad ones
Kuishi humu inataka moyo, ngoja tuone.Taratibu atazoea 😆
Hii imfikie mfalme wetu Intelligent businessman kuwa koo zenye nguvu ndiyo ustawi wa utawala imara, anayempenda yeye amfanye concubine ila anayetakiwa na baraza atakuwa malkia.Siku zote wafalme hawachagui Queen wenyewe huwa mashauri lazima yazingatiwe na yanawekwa mbele maslahi ya Taifa kwanza kabla ya moyo.
Ndio maana King Geumwa alimfanya Queen Mama Daeso kutoka ukoo wa Maga japo hakuwa chaguo lake ni kwa sababu , Maga clan is powerful na kuimarisha utawala , Bang Won vilevile alitafita powerful and influencial clan kuoa ili kuupa nguvu utawala.
Hata kwako maisha ya humu yanahitaji moyo? Unavyoshinda uzi wa wakorea namna hiiKuishi humu inataka moyo, ngoja tuone.
Endelea kuleta kiherehere, uta letewa mda si mrefu.Hio bakuli si ndio unaambiwa kunywa ujimalize mwenyewe au nimekosea ?
Nimechoka kila kitu hiyo App ndio utopolo kabisa.unaweza kuscreenshot nikaona muonekano wa web page,
Au download app yao playstore.
moviebox
Tumia kiss Asian, iko simple Sana.Nimechoka kila kitu hiyo App ndio utopolo kabisa.
Kwa hisani ya undugu wetu naomba uishushe unitumie Telegram please 🙏🏼
Bakuli liko njiani😂😂Hii imfikie mfalme wetu Intelligent businessman kuwa koo zenye nguvu ndiyo ustawi wa utawala imara, anayempenda yeye amfanye concubine ila anayetakiwa na baraza atakuwa malkia.
Zaidi ya hapo reform itahitajika.
Khalas 😂
Asichukulie poa nguvu ya Baraza la Mawaziri na wanamtandao .Hii imfikie mfalme wetu Intelligent businessman kuwa koo zenye nguvu ndiyo ustawi wa utawala imara, anayempenda yeye amfanye concubine ila anayetakiwa na baraza atakuwa malkia.
Zaidi ya hapo reform itahitajika.
Khalas 😂
😝😝😝Reform inahitajika 😂
😝😝😝😝msimalize maneno. kuna siku mtanikubali🤣Hii imfikie mfalme wetu Intelligent businessman kuwa koo zenye nguvu ndiyo ustawi wa utawala imara, anayempenda yeye amfanye concubine ila anayetakiwa na baraza atakuwa malkia.
Zaidi ya hapo reform itahitajika.
Khalas 😂
Nimemaanisha kwa mgeni 😂Hata kwako maisha ya humu yanahitaji moyo? Unavyoshinda uzi wa wakorea namna hii