Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kukaa madarakani anahisi tayari amemaliza kila kitu, atake asitake malkia lazima awe anatokea kwenye familiya yenhye ushawishi na nguvu 😂

Hatushindwi kitu ila naona huyu Razor atamfunga Negan lin kama chawa hivi 😂😂

Khalas 😂
Falaaaa😃😃


Yan me na Lucas Mwashambwa kazi yetu moja


Nitake Radhi kaka sijafikia hiyo stage😃😃😃
 
twende Han tuu tukatafute msaada😃😃😃
PhotoFunia-1758253974.jpg
 
Samari nipe tuuu nitaisoma lakini kuangalia mambo ya kale ni hell to the no 😂😂
Ukitoa Game of thrones hii ni Moja wapo ya series ambayo naangalia kila mwaka 😃

Ni vile napenda story za kijasusi nadhani maswala ya jeshi😃


Story ni ya mwamba kim Hyeon jun ambaye alikuwa Komando na mwenzake walikuwa sasa kuna organization ni kama usalama wa taifa lakin yenyewe ni separate kdg haikuwa chini ya usalama wa taifa ila inafanya kazi za usalama hao miamba wawili wakaingizwa humo baada ya kufanyiwa scouting na mdada choi seung Hee yalivyo majing wakati binti alivyokuwa kwenye scouting wao wakiwa hawajui yakampenda binti mmoja na yakawa yanatambiana kwamba nitakupelekea kwa shem wako soon mwisho wa siku mwamba akabeba mchumba. hapa ni mwanzo
picha linaanza mwamba alivyoingia kwenye hiyo Organization (NSS) alipewa mission ya kumuua kiongozi wa North korea Hungary then wakati yupo kwenye harakati za kutoroka sasa baada ya kumuua nchi yake ikamtelekeza plus wakamtuma jamaa yake wa karibu aende kumuua jamaa ndo akaanza mpambano zidi ya taifa lake na NSS ndo kisa kilivyo😃😃
 
No matter how reluctant they act, the marriage has already passed.

You're the queen of my palace.
She may be the queen of your palace but not the queen of our kingdom.

She was a princess, not a queen so just bear up the fact that I didn't marry your sister.

Baby Doll fits that position well, beside she knows what I like and need. She then provides it at the right moment.
So just because she knows your needs, what about the needs of our reign?

Baby Doll 우리 왕국에 대해 무엇을 알고 있나요?

이전에는 없었던 어떤 변화를 더할 것인가?

Khalas 😂
 
Your Majesty Intelligent businessman for the safety of the kingdom, you must listen to the opinions of the officials, failure to do so could lead to chaos.

You can choose to live with Baby Doll as your queen but we can also live with Joanah as our queen.

We will be ready to carry out our duties properly without hesitation if you listen to our opinions.

Khalas.
 
Your Majesty Intelligent businessman for the safety of the kingdom, you must listen to the opinions of the officials, failure to do so could lead to chaos.

You can choose to live with Baby Doll as your queen but we can also live with Joanah as our queen.

We will be ready to carry out our duties properly without hesitation if you listen to our opinions.

Khalas.
Kumeanza kuchangamka sasa😃😃😃
 
Back
Top Bottom