Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

I won't suffer consequences😝😝😝 I am here to give those consequences a taste of their own medicine👸👸
오랫동안 존경받아온 지위에 자신을 내세우고 있는 것 같네요. 지역 주민들과 잘 지내고 항상 경계를 늦추지 마세요.

Khalas.
 
Tunawezaje mpokea mtu bila kuweka wasifu wake tena kwenye cheo kikubwa ambacho kilikuwa mali ya mtu mwingine?

Khalas.
She was a princess, not a queen so just bear up the fact that I didn't marry your sister.

Baby Doll fits that position well, beside she knows what I like and need. She then provides it at the right moment.
 
Navyoonaga uvivu sasa kusikiliza hizi videos(sikumbuki kama huwa nasikiliza attached videos hapa JF)

Nihadithie manake Iris yenyewe nimeigoogle ni ya 2009 huko sijui hata kdrama ni nini wakati huo
Chuma kikali sana hicho😃baada ya Jumong niliangalia hicho kishushe mkuu upoteze muda😃😃
 
Siku zote wafalme hawachagui Queen wenyewe huwa mashauri lazima yazingatiwe na yanawekwa mbele maslahi ya Taifa kwanza kabla ya moyo.

Ndio maana King Geumwa alimfanya Queen Mama Daeso kutoka ukoo wa Maga japo hakuwa chaguo lake ni kwa sababu , Maga clan is powerful na kuimarisha utawala , Bang Won vilevile alitafita powerful and influencial clan kuoa ili kuupa nguvu utawala.
Sema kaka una madini sana kichwani mpe kijana yeye anawaza ubabe tuu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom