Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Your Majesty Intelligent businessman for the safety of the kingdom, you must listen to the opinions of the officials, failure to do so could lead to chaos.

You can choose to live with Baby Doll as your queen but we can also live with Joanah as our queen.

We will be ready to carry out our duties properly without hesitation if you listen to our opinions.

Khalas.

Huko juu nimesahau nani walikuwa wanaongelea wake/wapenzi zake Jumong
Soseono na yule mwingine nimemsahau jina

Nilikuwa nacheka kama boya

Sasa na wewe ulichoandika hapo wallah nacheka 🤣
 
Ukitoa Game of thrones hii ni Moja wapo ya series ambayo naangalia kila mwaka 😃

Ni vile napenda story za kijasusi nadhani maswala ya jeshi😃


Story ni ya mwamba kim Hyeon jun ambaye alikuwa Komando na mwenzake walikuwa sasa kuna organization ni kama usalama wa taifa lakin yenyewe ni separate kdg haikuwa chini ya usalama wa taifa ila inafanya kazi za usalama hao miamba wawili wakaingizwa humo baada ya kufanyiwa scouting na mdada choi seung Hee yalivyo majing wakati binti alivyokuwa kwenye scouting wao wakiwa hawajui yakampenda binti mmoja na yakawa yanatambiana kwamba nitakupelekea kwa shem wako soon mwisho wa siku mwamba akabeba mchumba. hapa ni mwanzo
picha linaanza mwamba alivyoingia kwenye hiyo Organization (NSS) alipewa mission ya kumuua kiongozi wa North korea Hungary then wakati yupo kwenye harakati za kutoroka sasa baada ya kumuua nchi yake ikamtelekeza plus wakamtuma jamaa yake wa karibu aende kumuua jamaa ndo akaanza mpambano zidi ya taifa lake na NSS ndo kisa kilivyo😃😃

Story inaonekana nzuri SHIDO mie ni lover sio fighter

Stories za vita sijui usalama hizo unaangalia unatumia akili kuconnect dots mie siziwezi 😅
 
Back
Top Bottom