Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Bakuli liko silla, endelea kukaza fuvuHii sasa ndiyo italeta kizaazaa mbele ya safari, uasi utafanyika kwaajili ya kuleta mapinduzi.
Nguvu iliyopo nyuma ya Joanah itafanya maamuzi hata bila yeye kutaka.
💪💪💪🤗🤗
Acha kulia Lia kiboya boya Arifuuu!! Kaza mtoto wa kiume!!there's no such thing like that, the only problem is about who sits on the queen place.
they like me, and somehow they prefer a certain princess to become my partner.
but I choose you Baby Doll and nothing shall separate us apart.
mpaka ujiboost! Na mitangawizi, sijui mi asali!! Utawaweza wengine janja?? ni haki yako! hahaha.
oya nime cheka kishenzi, kweli we pipa maji huelewi mada una vamia Kama chokoraa kwenye harusi ya wanajeshi lazina upasuke.mpaka ujiboost! Na mitangawizi, sijui mi asali!! Utawaweza wengine janja?? ni haki yako! hahaha.
Mndewa halisi!! Lazima uwe na makoloni kadhaa hutakiwi uteswe na mapenzi kama unavyo lilia.
Ndiomana majanja wa sikuhizi mkipigwa matukio kidogo tu mnakimbilia kuwazuru mademu zenu.
Janja asali tangawizi hiyo ni chai yetu, hatunywi michai yenu ambayo hayana tofauti na tumbaku dogompaka ujiboost! Na mitangawizi, sijui mi asali!! Utawaweza wengine janja?? ni haki yako! hahaha.
Janja janja zako za ule Uzi wenu wa kimasihara unataka uziamishie kwa Binti wa watu!!oya nime cheka kishenzi, kweli we pipa maji huelewi mada una vamia Kama chokoraa kwenye harusi ya wanajeshi lazina upasuke.
😂😂Janja asali tangawizi hiyo ni chai yetu, hatunywi michai yenu ambayo hayana tofauti na tumbaku dogo
Janja mi sio teenager mwenzio, kuwa na adabu kwa wakubwa zako.Janja janja zako za ule Uzi wenu wa kimasihara unataka uziamishie kwa Binti wa watu!!
Usione vyaelea utakuja upasuke dogo!!
Dogo chino ana hisi kila mtu msabatto😂😂
Janja since pambano langu la kwanza sija wahi kufeli, ila we pambano lako la kwanza ni zaidi ya mushkeli..
Mndewa halisi!! Lazima uwe na makoloni kadhaa hutakiwi uteswe na mapenzi kama unavyo lilia.
Ndiomana majanja wa sikuhizi mkipigwa matukio kidogo tu mnakimbilia kuwazuru mademu zenu.
Mkuu ina love story moja matata hiyo movie😃😃😃Story inaonekana nzuri SHIDO mie ni lover sio fighter
Stories za vita sijui usalama hizo unaangalia unatumia akili kuconnect dots mie siziwezi 😅
Mbona kama mmefungiwa mkuu 😃
Anitherr (Search hiyo A/C unitumie)


Za TBT hizo siangalii 😂Mkuu ina love story moja matata hiyo movie😃😃😃
Unajitaid mno kujitetea mkuu😃😃😃😃Za TBT hizo siangalii 😂
Unae malkia wako na sisi tunae malkia wetu, Joanah ataendelea kubakia ndani ya kasri na kutambulika kama malkia wa dola.
Hahaha 😂 😂nikiwa kama TAEJO, niendelee kufuatilia hii vita ya kuwania taji la Malkia bila ya kuchagua upande.
Nimepumzika kweli kweli
Mnanikumbusha visanga vya tamthilia ya DONG YI pamoja na hadithi tofauti za Bang Won (Taejong).
![]()