Naomba list za pori mbili Kali nikazichukue kipaumbele Changu ni stori zenye taste kama , Joseon Gun man, Jumong , Emperor of the sea , King Gwangaeto, Deep rooted tree na nyinginezo.
😁 Mtoto akililia wembe mpe
Boom💥
EMPEROR WANG GUN Episodes 200
Story ni the best, inaelezea jinsi Goryeo ilivyoanzishwa. Utakutana na malaika aliyegeuka kuwa shetani( General/Monk Gung Ye), Huyu mwamba ndio founder wa Goryeo, na alikuwa ni descendant wa Jang Bogo kutoka Silla.
General Wang gun mwenyewe Kutoka familia ya wafanya biashara.
Halafu ni limwqmba linaitwa General Gyeonon hili jitu Linataka kuirejesha Bakjae. VITA YA HIZO NJEMBA NI 🔥
Unakumbuka battle ya military tacticians Ha muji na Murong un/ Ko un kwenye Gwanggaeto the Great?
Sasa baadaye saana utakutana vita ya wasomi hawa military advisors, Choi Uing Vs Choi ? ni 🔥
AGE OF WARRIORS Episodes 138
Humu ndani vita ni kama mvua za masika.(Daemusin, aliwahi kuniambia humu ndani hakuna mrembo wakiume/ handsome, wote ni sura ngumu na za kazi) ni kweli
Hii inaelezea mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika miaka ya 1100 na utawala wa wababe hawa ulidumu kwa karne nzima. Wajinga walikuwa wanatawala dhidi ya mfalme. Kama umewahi kuiona SOLDIER/ MILITARY OFFICIAL/ GOD OF WAR utakuwa unanielewa maana inafainalise kipqnde cha story kilichoachwa kwenye AGE OF WARRIORS
Jitoe sadaka kwa ajili ya safari hii kutoka Tokyo, Nagoya to Osaka. Bila Bullet train or Maglev train( Km 603/h) itakuchukua muda.