Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Kwenye hiyo list hakikisha huisahau Tempest.Baada ya A Scholar Who Walks the Night, Rasmi nimeianza TWELVE
Katika miaka 4 iliyopita nadhani mwaka huu huenda nikataza drama nyingi zaidi mpk sasa nimetazama
1.SQUID GAME 2&3
3. Lawless lawyer
4. Dear Hongrang
5. A SCHOLAR WHO WALKS THE NIGHT
6. TWELVE
7. Song of Bandits