Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Umeanza uoga kwanini unamkwepa 😂Aaah! Hii mbona imekaa kimkakati sana, haki ya nani ulipo nipo.
Umeanza uoga kwanini unamkwepa 😂Aaah! Hii mbona imekaa kimkakati sana, haki ya nani ulipo nipo.
Hilo siyo tatizo, muhimu upo hapa.
Karibu sana, chama(familiya) yetu tunaishi kijamaa popote pale ndani ya JF.mi sio mwanafamilia ila nimevutiwa na tamaduni zenu kwahiyo naomba kuwa nwanachama hai
Jino kwa jino 😂Aseee una uphaller 😂😂😂
Haki ya nani hakuna uoga hapo ila mie nipo na wewe bega kwa bega 😂Umeanza uoga kwanini unamkwepa 😂
Asante kwa kunitambulisha🤗🤗🤗kwa maelezo zaidi ngoja nije PM.Taarifa kwa sangwang D A E M U S H I N
Kuanzia leo Baby Doll atakuwa jungjeon mama, she is the best choice.
iwafikie mawaziri Razor atamfunga Negan lin, Razorblade, Numbisa, adriz The Consigliere atakaye kiuka adhabu kali yaja.
Khalas.Yessssir!!
nilikuaga mpenzi huko zamani za kaleKaribu sana, chama(familiya) yetu tunaishi kijamaa popote pale ndani ya JF.
Ni mpenzi wa series/lifestyle ya korea?
Usi nipangie, maana nime epusha mzozo mkubwa ndani ya ufalme.Hii taarifa imekuja ghafla na mbona huyo aliyeteuliwa haonekani kutokea kwenye koo zenye nguvu, huoni unahatarisha usalama wa dola?
Tumekuwa pamoja tukishirikiana bega kwa bega katika utengenezaji wa taifa jipya na comrade Joanah, inawezekanaje baada ya kutawazwa kuwa mfalme mpya unatafuta malkia mpya?
Kwanini asiwe hata concubine?
Khalas 😂
Ohoo! Karibu kwa mara nyingine tena.nilikuaga mpenzi huko zamani za kale
Mara baada ya kuwa mfalme umeanza kuchukua maamuzi bila ushauri kutoka baraza la mawaziri.Usi nipangie, maana nime epusha mzozo mkubwa ndani ya ufalme.
Bro una ufala mwingi 😂😂
Mara baada ya kuwa mfalme umeanza kuchukua maamuzi bila ushauri kutoka baraza la mawaziri.
Razor atamfunga Negan lin adriz The Consigliere Numbisa mnakubaliana vipi na maamuzi haya bila kuitishwa baraza?
Khalas 😂
Nipe sites nzuri za kudownload k movies na c moviesMzee baba najua sana hilo, nime post kozi huku ni kama asia tu.
ko familiar na bakuli hili?, basi kaa kwa kutulia.Hatukubali. Mfalme atimuliwe
Reform inahitajika 😂Hatukubali. Mfalme atimuliwe
Penzi jipya unatumalizia bando 😂
Hii kitu haihitaji maelezo ukiwekewa mezani inabidi ujiongeze tu 😂ko familiar na bakuli hili?, basi kaa kwa kutulia.
huyo Razorblade asi kupambe uji changanye.
adriz The Consigliere, Razor atamfunga Negan lin vijana kuweni tayari.
View attachment 3473559
Siku hizi mi na stream zaidi mkuu, maana site nyingi ziko corrupted.Nipe sites nzuri za kudownload k movies na c movies
kaka angalia tena, picha zili jiposti vibaya. So nime update hatua kwa hatua.Nipe sites nzuri za kudownload k movies na c movies