Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

😛😛
Kwamba ameondoka mzee wa hotuba za mwisho wa mwezi (mkapa) amekuja mzee wa kula na kuliwa (jk).

Lakini si mlisema huyu ni chaguo la Mungu au ni chaguo la joanah?
 
Ni chaguo la Joanah huku mzee wa msoga ukitulazimisha tumkubali tutake tusitake wewe uko busy kufatilia Simba day huku ukifurahia onana anasepa zake na majanga yake
😛😛
Kwamba ameondoka mzee wa hotuba za mwisho wa mwezi (mkapa) amekuja mzee wa kula na kuliwa (jk).

Lakini si mlisema huyu ni chaguo la Mungu au ni chaguo la joanah?
 
Nimesoma Aya ya pili kwa umakini sana , this must be an illness..
 
Mkuu wewe ni Legend wa humu , unashusha nondoz si mchezo unajua mpaka historia kwa undani .

Uteuzi wako siupingi Moja kwa Moja maana kijana Intelligent businessman jamaa ni kama chizi movies ana list za kutosha , hivyo anatosha kuendeleza jahazi ila ningependa mwenyekiti uendelee.
 
Rais wangu siku hizi sijui amekuwaje maana ikifika usiku unamkuta kwenye uzi wa JF usiku wa manane lakini huku haudhurii.

Intelligent businessman unahitajika huku kukabidhiwa madaraka.
Rais kaua chama cha Majobeless sioni harakati zozote za maana na maendeleo , Bora mngebaki na Muimba SINGELI tu maana ana future Majobeless mngefika mbali.

Jobless ni katika movement iliyofeli mapema sana Jf humu imezidiwa na Makapuku , Chaputa , Kataa ndoa , No Fap hata Uwabata.

Cc : Razor atamfunga Negan lin
 
lee bang won una mkumbuka?, ali angalia uongozi zaidi badala ya mapenzi.

Nami nachagua uongozi, maana hawa kina Numbisa wana taka kumfanya jo awe great queen jojora😂😂
Le bang Won ni kichwa kibovu mpaka zinazomuhusu yeye nimecheki Six flying dragon, Deep rooted tree , My Country na sasa nacheki Tears of Lee bang Won Niko episode ya 3.

Jamaa amenifurahisha kwenye kutokucheka na maadaui na hapendi kuremba mambo , wale wanachama mitandao ya Siri na wanachama wake aliwaangamiza vibaya mpaka wakakimbia .

Ila ana uchu sana wa power na madaraka ...
 
Bila lee bang won hakuna revolution, bila lee bang won plan ya sambong isinge kamilika.
 
una hangaika sana, Nina vyeo kwenye vyama vyote hivyo ulivyo taja.

Ukiona rahisi anzisha vyako, nyau de umbwaz
 
Muimba SINGELI nae alizama kwenye penzi la yule mshusha uzi za lawama kila siku, asingeweza kuendesha chama maana first lady hana kaba 😂
 
Mimi sio chizi movie aisee😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…