Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Ahh wapi , huu unafiki uki zingatia mchuchu Joanah haonekani 😂😅Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe kaka unaamka na mchuchu
Ahh wapi , huu unafiki uki zingatia mchuchu Joanah haonekani 😂😅Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe kaka unaamka na mchuchu
Napiga kichwan bado anapumua😃😃😃Familia una kanyaga Sana😅😅
😂😂😂Hivi Joanah haja waroga kweli 😅
Na hata usiroge maana badala ya kuongeza upendo ndiyo unauondoa, waganga hawaaminiki 😂😂😂😂😂😂😂 ni maupendo tu hapo sijaroga bado
At your service My Queen 😂Vita mmeipigania dadeqqq 😂😂
Fala sana, hii ni cocastic effect 😂😃😃😃Kwa akili zetu timamu tulichagua upande mapema tuu
Uongozwe na malkia anajiita mdoli we ulisikia wap
Khalas in Razorblade voice 🤣🤣
Khalas 😂kaka basi nisha jua kosa😅😂
Hii ikitoka tu naruka nayo.ji chang wook ana rejea November 5, na chuma kina itwa manipulated.(Disney).
Mwanaume ana fungwa jela kwa kosa lisilo lake, baadae ana gundua njama hivyo ni mwendo wa kulipiza kisasi.
(Ime kaa kama innocent defendant).
Vyuma vya jichang wook.
.k2, fabricated city, empress ki, healer, warrior baek dong so, five fingers, worst of evil.
View attachment 3481499
Siyo leeeo toka zamaniii, Joanah hana mpinzaniii 🎶In my eyes...
The saying that you're the only one I see...
That, I believe, is a lie...
In my eyes, I see many people...
But, amidst this group of people,
I only search for you.
There's no such thing as the perfect guy.
And there's no such thing as the perfect girl.
But only a less than perfect guy
And a less than perfect girl can make a perfect love.
Morning mchuchu❤️ Joanah
Alikuwa anataka awe anashinda na misuli kwenye vijiwe vya kahawa 😂😂😂Tatizo mwanetu anawapenda mno watu wa kisiwan🤣
Hope amejifunza upande wa kukaa😃😃😃
Piga kwenye kifua, akikaa vibaya piga kwenye chembe 😂Napiga kichwan bado anapumua😃😃😃
🤣 Familia huu unyama Sasa🤣😂Napiga kichwan bado anapumua😃😃😃
Hii ime enda🔥🔥😅
Kaja asubui, kisha kasepa mazimaMtumie ya vocha atakuja 🤣🤣🤣
Upande wa kisiwani ni upi huo 😂Tatizo mwanetu anawapenda mno watu wa kisiwan🤣
Hope amejifunza upande wa kukaa😃😃😃
Hata salamu hamnaPicha yako Numbisa iwekwe front page ya JF 😁