Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mood yangu ya October . Mwezi wa kazi nimekuwa mtu kazi , nacheka na kazi.Misimamo na nidhamu ya kazi.
IMG_20250930_175117.jpg
 
Intelligent businessman huyu jamaa yako ana shida gani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Razorblade sijajua haya maneno ana toa wali, hata kama ni kuchagua upande hii kazidi Sasa 🀣 πŸ˜‚
Razor atamfunga Negan lin amesema anapiga kichwani na bado unapumua, nimeangalia vizuri kichwani nimeona kuna helmet πŸ˜‚

Mie nimeamua kupiga kifuani na chembe ili ufe taratibu ila kwa maumivu makali πŸ˜‚πŸ˜‚

Khalas πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom