Alikuwa anataka awe anashinda na misuli kwenye vijiwe vya kahawa πππ
Razorblade sijajua haya maneno ana toa wali, hata kama ni kuchagua upande hii kazidi Sasa π€£ πIntelligent businessman huyu jamaa yako ana shida gani πππ
Nani kasemaπFala sana, hii ni cocastic effect π
Khalas π
πππKazi kwel kwelπ€£ Familia huu unyama Sasaπ€£π
Alikuwa anataka awe anashinda na misuli kwenye vijiwe vya kahawa πππ
Aaah umeshinda kungamuaπUpande wa kisiwani ni upi huo π
General mwenyeweMood yangu ya October . Mwezi wa kazi nimekuwa mtu kazi sicheki na yeyote zaidi ya kazi .Misimamo na nidhamu ya kazi. View attachment 3482086
Aaah umeshinda kungamuaπ
Uke wenza utauweza kwel kama hufanyi surveillance π€£
Razorblade sijajua haya maneno ana toa wali, hata kama ni kuchagua upande hii kazidi Sasa π€£ π
Hata salamu hamna
Hapo adriz kapigwa jiwe wazi wazi nisha ku elaborateπUpande wa kisiwani ni upi huo π
HAmna, nilikuwa nakuzingua maana uli potea siku nzima.ππππ salamu gani tena
MmmmhHapo adriz kapigwa jiwe wazi wazi nisha ku elaborateπ
adriz ana wapenda wavaa mashuka wenzie, huja elewa kisiwa cha blue kilipo?Mmmmh
Nilishaelewaadriz ana wapenda wavaa mashuka wenzie, huja elewa kisiwa cha blue kilipo?
Siyo sana πIlaaa una uphaller sana unajua π€£π€£
Intelligent businessman huyu jamaa yako ana shida gani πππ
Razor atamfunga Negan lin amesema anapiga kichwani na bado unapumua, nimeangalia vizuri kichwani nimeona kuna helmet πRazorblade sijajua haya maneno ana toa wali, hata kama ni kuchagua upande hii kazidi Sasa π€£ π
Malizana nayo jana wamemalizia ep 8 na 9, hii series imenyooka sana π₯Sijui huko mbeleni, lakini mpaka hapa nilipoishia. Nadhani tangu VAGABOND sijaona drama ya mjini( Triller) kali kama hii( TEMPEST). Nimependa inaelezea Geopolitics
Hizo kazi zingine nimeziweka pending kwanza niende na TEMPEST