Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 4,910
- 12,926
😂🙌🏾 Voda for lifeSitaki hata kuwasikia hao, mtandao hovyo hovyo.
😂🙌🏾 Voda for lifeSitaki hata kuwasikia hao, mtandao hovyo hovyo.
Mtandao wa kishua huo😂🙌🏾 Voda for life
Chama cha ma jobless pro max hakina fedhaKulipia hapo sasa😂🙌🏾
Kuna option nyingine sio hiyoo.Chama cha ma jobless pro max hakina fedha
Kwa vile bando la kuibia, cheki pale Google chrome.Kuna option nyingine sio hiyoo.
PamojaKwa vile bando la kuibia, cheki pale Google chrome.
Andika download tale of nokdu at 9ja rocks movies, itakuja fresh.
Nimeiona haina stori Kali ya kusisimua , mimi mpaka nione series Kali mpaka ifike stage ya kunilaza mida mibovu yaani kila ikiisha kipande automatically hautamani kubakia kinyonge unajikuta unaongeza mpaka unastukia uko mida mibovu au ukiishiwa bando unahangaika hata kwa kukopa umalize.View attachment 3572322
Unaizungumziaje hii.
Pamoja mkuu.Nimeiona haina stori Kali ya kusisimua , mimi mpaka nione series Kali mpaka ifike stage ya kunilaza mida mibovu yaani kila ikiisha kipande automatically hautamani kubakia kinyonge unajikuta unaongeza mpaka unastukia uko mida mibovu au ukiishiwa bando unahangaika hata kwa kukopa umalize.
Murky ilikuwa haina mzuka hata kidogo kufikia vigongo kama Empress Ki , Vincenzo , Emperor of the Sea nk ilikuwa naangalia episode Moja Moja
Love story kali, panga kali.Love story au historical ?
Vipi panga zinatembea ?
Kukosa subs ni uchawi, huwa nasaka kwenye webs za subs mpaka nipate 😂Ebu niendee ila ouna ep Moja Haina sub tittle inanikata vibe😂
Au tujifinze kikorea mwanetu.Kukosa subs ni uchawi, huwa nasaka kwenye webs za subs mpaka nipate 😂
Icheki hii inaitwa less than EvilNimeiona haina stori Kali ya kusisimua , mimi mpaka nione series Kali mpaka ifike stage ya kunilaza mida mibovu yaani kila ikiisha kipande automatically hautamani kubakia kinyonge unajikuta unaongeza mpaka unastukia uko mida mibovu au ukiishiwa bando unahangaika hata kwa kukopa umalize.
Murky ilikuwa haina mzuka hata kidogo kufikia vigongo kama Empress Ki , Vincenzo , Emperor of the Sea nk ilikuwa naangalia episode Moja Moja
Poa Asante nitaisaka leoIcheki hii inaitwa less than Evil
Aagh! Huo mida si bora nijifunze kupiga double touch 😂Au tujifinze kikorea mwanetu.
"선생님은 지능적인 사업가입니다.
😂😂🙌🏾Sawa mkali.Aagh! Huo mida si bora nijifunze kupiga double touch 😂
Hii hapa uki rewatch nakuelewa, kuna zile swordplay nyingine kuzielewa inabidi uangalie mara ya pili.
Dude hili wali tulia, kuanzia villain hadi star wenyewe.Hii hapa uki rewatch nakuelewa, kuna zile swordplay nyingine kuzielewa inabidi uangalie mara ya pili.
Bonge la show.
Nakusikiliza nione list yako.Dude hili wali tulia, kuanzia villain hadi star wenyewe.
Namkubali strategist ana cheka huku ana endelea, kamuy kocha mzee wa mishale was awesome pia kwa utulivu.
Vipi nitaJe nyingine?