Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nakusikiliza nione list yako.
rurouni Kenshin, single movie ina sequel kadhaa.

Japan hiyo.
FB_IMG_17765541607639825.jpg
 
Mimi nilidhani ugonjwa wa kurudia ninao peke yangu kumbe tupo wengi .

Nimeanza kurudia Arthdal Chronicles 2 , nikimaliza nataka kurudia Jang Yeong Sill Kisha Tree with deep root.

Baek Dong Su sijawahi kuicheki ngoja niianze
BAEK DONG SU ni top-notch.
Drama za zamani zina ladha fulani ambayo kupata kwenye drama za sasa mpk utafute sana.
Halafu ilikuwa raha sana kabla ya haya ma- Netflix , Disney, Amazon kuiingilia soko la korea na mambo ya seasons
 
The_Kings_Warden_SML-667x988 (1).jpg

Anyeong, I hope bado mpo na energy.
Babu yenu nguvu za kiume zimepungua.

Ok
Wenye machimbo ya siri nisaidieni kuipata hii filamu.

Inazungumzia maisha ya mfalme danjong (mjukuu wa mfalme sejong)

Aliondolewa madarakani kwa nguvu ya mjomba wake akiwa kijana mdogo.

Imetoka mwishoni mwa 2025 kama nitakuwa sahihi.

Sad ending 😢
Sad ending
Sad ending.

Intelligent businessman ,
Mac Alpho
Nifah dada mkubwa
Numbisa zee la cinema

talnam yuko wapi,
Gyeoul upo hai?
 
View attachment 3583396

Ngoja nicheki nakurudia
 
BAEK DONG SU ni top-notch.
Drama za zamani zina ladha fulani ambayo kupata kwenye drama za sasa mpk utafute sana.
Halafu ilikuwa raha sana kabla ya haya ma- Netflix , Disney, Amazon kuiingilia soko la korea na mambo ya seasons
Ladha nilizokuwa nazipata korea sasahivi sizipati kabisa, nahamia kwenye anime tu sasa.
 
View attachment 3583396
Anyeong, I hope bado mpo na energy.
Babu yenu nguvu za kiume zimepungua.

Ok
Wenye machimbo ya siri nisaidieni kuipata hii filamu.

Inazungumzia maisha ya mfalme danjong (mjukuu wa mfalme sejong)

Aliondolewa madarakani kwa nguvu ya mjomba wake akiwa kijana mdogo.

Imetoka mwishoni mwa 2025 kama nitakuwa sahihi.

Sad ending 😢
Sad ending
Sad ending.

Intelligent businessman ,
Mac Alpho
Nifah dada mkubwa
Numbisa zee la cinema

talnam yuko wapi,
Gyeoul upo hai?
Mimi ningekusaidia ila kwa vile hujanitaja sitaki kuwa na kiherehere
 
Back
Top Bottom