Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimeiona haina stori Kali ya kusisimua , mimi mpaka nione series Kali mpaka ifike stage ya kunilaza mida mibovu yaani kila ikiisha kipande automatically hautamani kubakia kinyonge unajikuta unaongeza mpaka unastukia uko mida mibovu au ukiishiwa bando unahangaika hata kwa kukopa umalize.

Murky ilikuwa haina mzuka hata kidogo kufikia vigongo kama Empress Ki , Vincenzo , Emperor of the Sea nk ilikuwa naangalia episode Moja Moja
 
Pamoja mkuu.
 
Icheki hii inaitwa less than Evil
 
Hii hapa uki rewatch nakuelewa, kuna zile swordplay nyingine kuzielewa inabidi uangalie mara ya pili.

Bonge la show.
Dude hili wali tulia, kuanzia villain hadi star wenyewe.

Namkubali strategist ana cheka huku ana endelea, kamuy kocha mzee wa mishale was awesome pia kwa utulivu.

Vipi nitaJe nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…