Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wakorea hawajakukosea aisee kuna series moja hv inaitwa
KING GWANGGAETO n hataree inafanana na Jumong
King gwanggaeto kwangu ndio itabaki the best historical drama....yan ni kali hadi inaboa....ina episode 90+ lakini huwez ichoka...


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Naangalia EMPRESS KI hapa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
N kwel nmesema sio zote ukichek zile za mujin mujin huwa hakunaga ila zle za kijijin ndo nyng mf ile empress Ki au bichunoo/dance in the sky
Ngoja nikakague vzur kwenye library yng ambazo nmeziangalia huwa wanakufa mwshon ntakuletea mrejesho
No usiniletee. Kuna zingine nna mpango wa kuziangalia sasa ukiniambia mwisho utakuwa umeniharibia hamu ya kuangalia
 
Inagoma kufunguka iyo site
Acha zako hii nn tumia UC Browser fast Download, sachi kupitia Google bonyeza link ya pili achana na yakwanza inasumbua hiyo. Bonyenza link ya pili. Hapo kwenye search utatafuta series unayo itaka.
 
King gwanggaeto kwangu ndio itabaki the best historical drama....yan ni kali hadi inaboa....ina episode 90+ lakini huwez ichoka...


Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu hiyo series ni nzur mno ama
 
Kwa wale wenye kuhitaji sites mbalimbali za ku-download Korean Dramas, pitieni hapa.
 
Nashukuru sana, ndio nipo episode ya tatu sasa naona it is worth the watch.
 
Stranger
Remember

Sent from my Siemens A-35 using JamiiForums mobile app
 
Mpe na onyo asiiangalizie sebuleni au akiwa na mtu yeyote wanaeheshimiana...
Maana hio movie sio ya nchi hii[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Post sent using JamiiForums mobile app
Nilifata Ushauri Wako Mkuu Nimeiangalia Peke Yangu,Ila Sikuona Ulazima Wakuweka Zile Scene Pale Sijuhi Ata Walichokimaanisha, Yule Actress Wazazi Wake Sijuhi Walikuwa Awapo!! Maana Si Kwa Unaked Ule....
 
Damushin Uje Uku Utoe Details Zaidi,Naona Agency Ya My Second Favorite Actor ( Ji Chang Wook) Imetoa Tarrifa Ya Kuingia Kwake Kutumikia Jeshi August Hii. Jamaani .


 

Attachments

  • upload_2017-7-17_8-50-50.jpeg
    5 KB · Views: 41
  • upload_2017-7-17_8-52-23.jpeg
    7.7 KB · Views: 39
Vipi kuhusu The Vengeance,The field knife,The leader na The Victory.Ni hatari.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…