Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Episode ya 14 sasa inasisimua
Ya Kumi Na Tano Ndo Machozi Ayaa Apa, Yule Mdada alomuokoaga Young (PRINCE) Kaharibu Sana Hii Episode Ye na Yule Uncle Wake Wamewageuka Wezao Kabisaa, Kanipa Hasira.....Ila ndo Maigizo
 
kuhusu drama ya The King in Love
Ni Nzuri Na Naona Hii Itakuwa Na Mapanga Sana, Maana hiyo Episode ya kwanza Tuh Ni Cheche...Na Wifi Yoona Pia Natumai Kuuona Utofauti wake Umu ndani ila Second Lead Nimempenda Eti! Ametulia Umu Ndani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…